Search results

  1. Anfaal

    Bingo!

    Leo nimekumbuka ule mchezo wa Jackpot Bingo uliokuwa unaendeshwa na ITV. Mchezo ule ulimnufaisha saana bwana Mengi kutokana na ugeni wake na uelewa wa wachezaji! Katika hali ya kawaida, hivi nani tena anaweza kuaminiwa na Watanzania maana kila mtu akipata upenyo anawaza kukwepa kodi na kuwaibia...
  2. Anfaal

    Ukimuona mtu mwenye kitambi

    Naona kitambi kinaninyemelea, nafanya jitihada kuhakikisha kisitokee, hivi ukimuona mtu mwenye kitambi; 1. Unasema mambo yake safi? 2. Unamuonea huruma kwa hali hiyo maana flexibility inakuwa hakuna na matatizo ya afya yanaongezeka? 3. Unatamani umshauri afanye mazoezi kupunguza hali hiyo? 4...
  3. Anfaal

    Somo kutoka ugiriki

    Uwezekano wa Ugiriki ku-default (kushindwa kulipa madeni yake) kwa hali ya sasa hivi unazidi kuwa mkubwa. Itakumbukwa kwamba wiki iliyopita S&P rating agent ili-dowgrade credit rating ya Ugiriki na kuifanya iwe least credit worthy country. Ugiriki ilikuwa downgraded from B to CCC. Pamoja na...
  4. Anfaal

    Uwekezaji au unyonyaji

    While Canadians may think of ourselves as best known for owning the Olympic podium, among Africans we may actually be better known – and not particularly liked – for owning their natural resources. Once beloved on the continent, Canada is no longer so fondly regarded in Africa. The new, less...
  5. Anfaal

    Mechi ya nigeria vs tanzania u23 yaahirishwa

    Mechi ya Nigeria na Tanzania U23 kuelekea michuano ya Olimpiki imeahirishwa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha Benin City na kufanya uwanja ujae maji. Baada ya ukaguzi, waamuzi walikubaliana kuwa mechi ni vyema iahirishwe. hivyo mechi hiyo itakuwa siku ya jumapili (kesho).
  6. Anfaal

    Flashy sports cars are male 'short-term mating signal'

    A good investment or just a tool to attract hot dates? Men who buy flashy sports cars might be more successful at getting a date, but women do not see them as good marriage material, a study suggests. Researchers from Texas and Minnesota carried out tests on nearly 1,000 people to find out the...
  7. Anfaal

    Nini Sababu?

    Mtu aliyopo kwenye uhusiano kuwa na wasiwasi na mawasiliano ya mwenzake, inaweza kuwa ni: 1. yeye hachiti kwahiyo anataka ahakikishe na mwenzie hacheat? 2. anachiti ila anadhani na mwenzie hachit? 3. Ni kwamba yupo insecure? Majibu ya maswali haya yanaweza kutokana na life experience yako au...
  8. Anfaal

    Siasa za aina hii si msaada kwa nchi yetu

    Kwa Watanzania wengi sasa hivi wimbo ni siasa. Hakuna jambo jingine linalojadiliwa zaidi ya siasa kila uchao. Lakini siasa hizi licha ya kuaminika kuwa ndio suluhu ya baadhi ya matatizo katika baadhi ya nchi, siasa za nchi kwetu ni tofauti saana. Katika mazungumzo ya Watanzania kwao siasa ni...
  9. Anfaal

    La viwanja linahitaji utanzania na si vyama

    Hivi karibuni imeripotiwa kuwa Serikali imepima viwanja vipatavyo 20,000 huko Kinyerezi> Lengo kuu la uanzishwaji wa upimaji huu ni kuhakikisha kuwa Watanzania wanaacha ujenzi holela, wanakuwa na aseti zinazoweza kuwafanya wakopesheke lakini pia na serikali inapunguza gharama iingiazo za...
  10. Anfaal

    Kwenye hili CUF wanalo la kujifunza

    Juzi nchini Uingereza ulifanyika uchaguzi wa kuchagua councillors na wawakilishi wengine. Uchaguzi ule kwangu mie unaweza kuwa ni mfano wa ndoa kati ya CUF na CCM kule Zenji ingawa kwa huko Uingereza ni ndoa kati ya Conservative na Liberal democrats. Katika uchaguzi ule, chama cha liberal D...
  11. Anfaal

    Kwenye hili CUF wanalo la kujifunza

    Juzi nchini Uingereza ulifanyika uchaguzi wa kuchagua councillors na wawakilishi wengine. Uchaguzi ule kwangu mie unaweza kuwa ni mfano wa ndoa kati ya CUF na CCM kule Zenji ingawa kwa huko Uingereza ni ndoa kati ya Conservative na Liberal democrats. Katika uchaguzi ule, chama cha liberal D...
  12. Anfaal

    Magari ya Kijapan

    Ukifika Tanzania magari mengi yanayoonekana barabarani kuanzia ya serikali hadi ya watu binafsi ni ya Kijapan. Ni vigumu saana kuelewa kwanini baadhi ya magari mengine hayapo kabisa au lipo mojamoja. Mfano zamani gari kama Peugeot zilikuwa nyingi lakini sasa hivi ni shida saana kuziona. Gari...
  13. Anfaal

    Bei ya Mafuta

    Kufuati hali tete ya uchumi Ulaya na Marekani, bei ya mafuta leo imeshuka kwa karibu ya asilimia 10 katika soko la dunia na huenda ikashuka zaidi hivi karibuni. Kushuka huku kutakuwa na faida tu kama hali ile itaonekana kwenye pump zetu nyumbani na pia hali ya fedha yetu ikaimarika. Matarajio ya...
  14. Anfaal

    Msaada pls; medical officers

    Ndugu wanajamvi; Naomba kufahamu application kwa vyuo vyenye kozi za medical ofiicers hufanyika wakati gani? Na je, hufanyika wizara ya Afya au kwenye chuo husika? Vyuo kama KCMC, BUGANDO na MUHIMBILI wanatoa kozi hizo? Na entry qualification kwa aliyemaliza na form six zikoje? Na ada zake...
  15. Anfaal

    Utafiti; hakuna vipaji maalum wala akili ya kurithi

    As children face their final month of revision before the exam season starts, many parents are looking for the words to motivate their offspring. But could they be mistakenly praising the value of ability over effort, asks Matthew Syed. Take a glance at these expressions of encouragement: "You...
  16. Anfaal

    Tunapoelekea na tulipo

    Sasa imekuwa kawaida saana kila asubuhi watu kukejeli dini za watu humu jamvini na hasa waislam wakizidi kukejeliwa kila kukicha. Hivi sasa cha muhimu si hoja bali ni nani kazungumza na imani yake ikoje. Ukipitia thread ya maandamano ya waislam suala hili lipo wazi saaana. Wengi wa waandamanaji...
  17. Anfaal

    Ushauri kwa wanaotaka kuagiza magari japan

    Watanzania wengi hupendelea kuagiza magari yao Japan aidha moja kwa moja au kwa kutumia maajenti. Hivi karibuni Japan imekubwa na maafa ya matetemeko ya ardhi ambayo madhara yake yameifanya dunia nzima kutafakari kama matumizi ya nuklia ni sahihi katika hali kama ya Japan. ikumbukwe kuwa Japan...
  18. Anfaal

    Zitto ninatofautiana na wewe katika hili.

    vyombo vya habari hivi karibuni vimekunukuu ukishauri kuwa, Tanesco iachane na uzalishaji wa umeme na suala hilo wapewe makampuni ya umma ambayo kwa mujibu wako unaamini yanauwezo wa kufanya hivyo (gazeti la Tanzania Daima). Nina hakika katika hili ulimaanisha mifuko ya pensheni maana haya...
  19. Anfaal

    Hii iliishia wapi?

    Wengi wetu huenda tukawa na kumbukumbu za kutosha juu ya mafuriko yaliyotokea mkoani Kilosa mkoani Morogoro. Jitihada zilifanyika za kutosha kukusanya rasilimali na jeshi likahaamia huko kuhakikisha reli ya kati inapitika. Lakini pia, nchi mbalimbali zilijitokeza kutoa misaada, miongoni mwa nchi...
  20. Anfaal

    Nilifika vodacom mlimani city

    Line yangu ya voda nilikuwa nimeismiplace. Nikaenda vodacom mlimani city ili nipatiwe namba ile ile. Nikamkuta dada mmoja na kumueleza shida yangu. Akaingiza ile line kwny computer ghafla akageuka hii line imekuwa corrupt (hakutumia neno hili ila neno linalofanana na hilo), akasema kwahiyo ili...
Back
Top Bottom