Ukimuona mtu mwenye kitambi

Anfaal

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
1,154
113
Naona kitambi kinaninyemelea, nafanya jitihada kuhakikisha kisitokee, hivi ukimuona mtu mwenye kitambi;
1. Unasema mambo yake safi?
2. Unamuonea huruma kwa hali hiyo maana flexibility inakuwa hakuna na matatizo ya afya yanaongezeka?
3. Unatamani umshauri afanye mazoezi kupunguza hali hiyo?
4. Unatamani na wewe ukipate kama huna?
5. Au unawaza nini hasa?
Angalizo; Naomba ieleweke kwamba lengo si kuwakejeli watu wenye vitambi bali kuangalia mitazamo ya watu na namna bora ya kuboresha afya zetu.
 
vitambi vipo vya aina nyingi: vya utapiamlo, mataputapu, pesa, nk. Fafanua usomeke vizuri
 
Naona kitambi kinaninyemelea, nafanya jitihada kuhakikisha kisitokee, hivi ukimuona mtu mwenye kitambi;
1. Unasema mambo yake safi?
2. Unamuonea huruma kwa hali hiyo maana flexibility inakuwa hakuna na matatizo ya afya yanaongezeka?
3. Unatamani umshauri afanye mazoezi kupunguza hali hiyo?
4. Unatamani na wewe ukipate kama huna?
5. Au unawaza nini hasa?
Angalizo; Naomba ieleweke kwamba lengo si kuwakejeli watu wenye vitambi bali kuangalia mitazamo ya watu na namna bora ya kuboresha afya zetu.

kitambi kama hicho ki-avatar chako kinafurahisha
 
ni utapiamlo, na kwa ujinga wetu tulio wengi hudhani kitambi ni kuwa mambo safi kumbe ni ulaji ovyo usio kuwa wa balanced diet, mtu anakomaa na michips tumbo linavutika mpaka ukimuona utadhani ana mimba ya miezi 9. hakika inasikitisha sana na mbaya zaidi na li Dr unalikuta nalo linaingia ktk mkumbo huu. jamani wenye matumbo aka vitambi tujuzeni mnavyo jisikia. kuna mmoja nilimuona mpaka nikajiuliza ivi huyu jamaa akitaka ku ninihiiii na shem inakuwaje?
 
mtazamo wetu sie waswahili ni kwamba mtu akiwa na kitambi basi mambo yake safi...wenzetu ni aibu kuwa na kitambi kwani inaonesha uzembe.
kama unashindwa ku manage mwili wako...utaweza manage nini?
 
Kitambi - if you can not control how much goes into your stomach then you can not control a lot of things!
 
Watu wanavitafuta kwa nguvu zote,idadi kubwa ya wa zaire waliokuwa wanafika uk late 80s
walikuwa wankula kama hawajawahi kuona chakula,kisa ni wapate kitambi.
Utawaonea huruma mwili mwembamba,tumbo kubwaaaa
 
Naona kitambi kinaninyemelea, nafanya jitihada kuhakikisha kisitokee, hivi ukimuona mtu mwenye kitambi;
1. Unasema mambo yake safi?
2. Unamuonea huruma kwa hali hiyo maana flexibility inakuwa hakuna na matatizo ya afya yanaongezeka?
3. Unatamani umshauri afanye mazoezi kupunguza hali hiyo?
4. Unatamani na wewe ukipate kama huna?
5. Au unawaza nini hasa?
Angalizo; Naomba ieleweke kwamba lengo si kuwakejeli watu wenye vitambi bali kuangalia mitazamo ya watu na namna bora ya kuboresha afya zetu.

wengi wetu tunashindwa kutofautisha kati ya kitambi na tumbo kubwa.
 
tusidanganyane wakuu hapa, huwezi kupata kitambi kama huna pesa bwana ama kama mlo wako wa shida
 
Mnaona sifa kuwa na vitambi,siku ukizimika ghafla,ndugu zako watasema 'si bure umetupiwa 'jini',mtaanza kutafutana uchawi na ndugu na majirani
Ondoa minyama uzembe hiyo!
 
tusidanganyane wakuu hapa, huwezi kupata kitambi kama huna pesa bwana ama kama mlo wako wa shida

dah! kwa hiyo kwako ww wote wenye vitambi wana hela? hii ni perception yako, ila wapo wengi tu tumewaona wana vitambi lakini pesa hakuna. Acha kujidanganya wewe ulaji mbaya usiokuwa na mpangilio ndo unasababisha vitambi.
 
Naona kitambi kinaninyemelea, nafanya jitihada kuhakikisha kisitokee, hivi ukimuona mtu mwenye kitambi;
1. Unasema mambo yake safi?
2. Unamuonea huruma kwa hali hiyo maana flexibility inakuwa hakuna na matatizo ya afya yanaongezeka?
3. Unatamani umshauri afanye mazoezi kupunguza hali hiyo?
4. Unatamani na wewe ukipate kama huna?
5. Au unawaza nini hasa?
Angalizo; Naomba ieleweke kwamba lengo si kuwakejeli watu wenye vitambi bali kuangalia mitazamo ya watu na namna bora ya kuboresha afya zetu.

Ukienda baa ya kangara wateja wote wana vitambi
 
Kitambi ni dalili ya moyo wa shukrani, kuna watu hata ukiwachoma sindano ya mbolea bado wanabaki wakavuuu kama mbao. Mfano Paul Kagame wa Rwanda, huyu jamaa inabidi akapate kikombe ili anenepe. Kiukweli hata MADEMU huwa wanaangalia kitambi ili wawe assured. Bila kitambi huwezi kupata mademu wakali siku hizi.
 
mkuu kitambi nakiona kitu kibaya sana, siku zote nikimuona mtu ana kitambi huwa nadhani ni mlevi wa bia na nyama choma na pia si mtu makini. Kwa wale wenye vitambi anzeni kufanya abs exercise na pia kucontrol milo...i hate kitambi...unakuwa goi goi fulani hv...no offensive kwa wenye belly fat!
 
Ni ukweli usiopingika mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom