Search results

  1. Kiby

    Msaada: Nikituma code *#61# Kwenye simu yangu inaleta ujumbe huu

    Natuma code *#61# Kwenye simu yangu inaleta ujumbe huu[emoji116] Sidukuliwi kweli?
  2. Kiby

    Channel gani Azam wanaonesha tamthiliya ya Brothers?

    Naomba wenye kuelewa ni chaneli ipi na mda gani kupitia king'amuzi cha Azamtv wanaonyesha tamthilia ya brothers( Cardo Dalisay) kwa tafsiri ya kiswahili?
  3. Kiby

    Panya aliyefungwa kengele kuzivuta sharubu za panya

    Nikienda kwenye hoja moja kwa moja niseme. CCM ni panya aliyejifunga kengele kuzikamata sharubu za paka. Roman katoliki ni taasisi inayoheshimika duniani na kuogopwa na watawala wengi. Kikubwa cha kuogopwa kwao ni usomi na ubobezi wa kuweza kuleta mageuzi ya kimfumo na utawala wa nchi nyingi...
  4. Kiby

    Awamu ya Sita na mbuzi kula kwa urefu wa kamba yake

    Awamu ya jamaa yule hakuna mkuu wa taasisi kitengo au kaya aliyethubutu kutengeneza mkao wa kula jasho la wengine kupitia ofisi ya umma. Leo hii katika hii awamu ya sita kila mbuzi kwenye ofisi ya umma anatafuta urefu wa kamba yake ni mrefu kiasi gani ili ajipimie ulaji wa kula bila kunawa...
  5. Kiby

    Nahitaji msaada na ushauri wenu katika hili

    Nimepatwa na tatizo la kuwa na maumivu au tuseme kitu kama uchovu fulani hivi katikati ya tumbo na kifua. Mara nyingi hali hii inanitokea wakati wa mchana ninapopumzika katika shughuli zangu. Nikiwa nafanya kazi za mikono hiyo hali siisikii ila ninapochukua muda kupumzika hasa kukaa kwenye...
  6. Kiby

    Je, kuna uhusiano wowote kati ya Kizunguzungu na shambulizi la moyo?

    Nimepatwa na kizunguzungu mara mbili ndani ya wiki tatu na hadi sasa sijajua chanzo ni nini. Kuna rafiki yangu mmoja kaniambie eti ni shambulizi la moyo (heart attack). Naomba wataalamu wanijuze, je kuna uhusiano wa moja kwa moja wa kizunguzungu na shambulizi la moyo? Na kama hakuna, je nini...
  7. Kiby

    Ninaomba ushauri driving licence yangu imefikia ukomo

    Heshima yenu wakuu. Nije moja kwa moja katika kusudi. Ninaomba ushauri driving licence yangu imefikia ukomo tarehe ya jana 31/07/2019. Nilikuwa sina habari hadi leo hii nilipoikagua na kugundua hilo. Naomba msaada wa kisheria. , je kuna uwezekano wa grace period ya mimi kuendelea kuitumia hadi...
  8. Kiby

    Uhovyo wa idara za Serikali awamu hii ya tano

    Hivi ndivyo alivyosikika bibi mmoja akilalama. Yaaani sijui nimemkosea Mungu nini. Jinsi hela ilivyo shida kuipata. Ni afadhali ile elfu yangu tano ningenunua dagaaa, mboga za majani, mkaa na unga tukasonga ugali tukaula na wajukuu mchana na kubakiza wakula jioni. Na mda tuliopoteza tungelima...
  9. Kiby

    Neema kwa wafanya biashara

    Tunauza korosho ghafi kwa wafanya biashara. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Kiby

    Internet inapozimwa lengo ni nini?

    Inaonekana nchi zote mzungu anazoziwekea vikwazo hufikia mkwamo na kuhitimisha hiyo hali kwa kuuana wenyewe kwa wenyewe. Haya ndiyo yanayoendelea huko Zimbabwe baada ya kuzimwa internet. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Kiby

    Utapeli wa kimtandao

    Kuna utapeli mkubwa sana unaoendelea katika mitandao yetu ya simu. Kabla ya kuweka data zote kuhusu huu wizi wa kimtandao na kuwashtaki Tigo TCRS naomba kwanza nipate mchango wa mwanachama yeyote aliyewahi kujiunga na bima yeyote ya huu mtandao iwe ni ya ajali ama kulazwa nk akalipwa madai yake...
  12. Kiby

    Dini karibu zote na madhehebu yake yashtukia kaulu mbiu zisizo na matendo za serikali

    Mkuu wa pili wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Kilimanjaro Kati, Mchungaji, Fred Njama amesema kuna mambo sita nchini ambayo hayako sawa. Alitaja mambo hayo kuwa ni pamoja na hali ya uchumi, ajira kwa vijana, ughali wa matibabu na tangazo la elimu bure. Mchungaji...
  13. Kiby

    3mzuka

    Leo tarehe 25 mwezi wa pili tatu mzuka wamekuja na droo ya kitapeli kwa mshindi wa milioni 60. Namna walivyozishirikisha namba za kuchagua kati ya 1 hadi 6 kwa watu wawili pamoja huku wakijua wazi kwamba ni vigumu mno mmoja achague zote tatu mzuka na wa pili akose zote tatu mzuka. Kwa kweli hapa...
  14. Kiby

    Msaaga madaktari wetu

    Kama kichwa hapo juu kielekezavyo. Hivi ukipima B.pressure na kipimo kukuelekeza kama hivi hapa chini hua inamaanisha kitu gani haswa? .
  15. Kiby

    Ujumbe huu ni wakfu kwa waziri wa mambo ya nje Tanzania

    Kama kichwa cha habari, Kila kitu hiki hapa. Read this speech from the prime minister of Israel..... Benjamin Netanyahu, with all Glory to God. Mr. Nethanyahu said: Only 70 years ago! The Jews were taken to the slaughter like sheep. 60 years ago! We had no country. No Army. Seven Arab...
  16. Kiby

    Nipeni neno wenye hekima

    Niposa safarini nchi jirani kibiashara na nimeshukia nyumbani kwa rafiki yangu. Nimepewa chumba changu na ninalala humo peke yangu. Cha kunishangaza kama wiki tatu zilizopita nimeamka asubuhi nikakuta kiatu ninachovaa cha mguu wa kushoto ile carpet ya kukanyagia ndani ya kiatu imegeuzwa ndani...
  17. Kiby

    Nahiitaji Noah

    Natafuta noah ya difuu nyuma iliyo ktk hali nzuri. Bei mil 7 na isizidi 9. Ni PM p/se
  18. Kiby

    Msaada: Jinsi ya kusoma gazeti la Tanzania Daima mtandaoni

    Naomba kujuzwa link ambayo ninaweza kulisoma gazeti la Tanzania daima kwa sasa maana ile ya freemedia.CO.tz halipatikani. Asanteni.
  19. Kiby

    Msaada: Njia gani nitumie nipate gazeti la Tanzania daima kwenye internet?

    Habari zenu wote wana jamvi, Naombeni msaada kwa mwenye kujua ni njia gani ninayoweza kupitia kulipata gazeti a Tanzania daima kwenye internet. Nipo nje ya Bongo ni ninatatizika sana kulipata. .
  20. Kiby

    CUF katika mkutano leo DSM

    Naona chama cha wananchi cuf kwa sasa hivi wana mkutano katika viwanja vya soko kuu kariako. Anaezungumza kwa sasa ni mtu anaejitambulisha kama mchungaji naona anamshambulia Dr Slaa na Chadema. Umati wa watu wa Kariakoo ni kama hawawapi usikivu wowote kila mtu anaendelea na shughuli zake. Hivyo...
Back
Top Bottom