Msaada: Nikituma code *#61# Kwenye simu yangu inaleta ujumbe huu

Kiby

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
6,899
4,623
Natuma code *#61#
Kwenye simu yangu inaleta ujumbe huu
Screenshot_20240318-221514.jpg

Sidukuliwi kweli?
 
Sasa udukuliwe wakati unashindia energy drinks na vitumbua.? Kuwa serious bhana

Anyway, ulikuwa unatafuta nn kwenye hy namba.?
Waliosoma saikolojia wanafahamu fika kuwa mtu huzungumzia jambo kwa ujuzi wake kama amelishiriki.
Pole ndg yangu kwa hayo mavitu energy na mandazi.
Hata hivyo bado uko juu kwa kuweza kuvipata. Kuna ndg zako hata huo uwezo hawana. wanashindia maji ya kidimbwi na kipande cha mhogo.
 
Ht sijaelewa ulichoandika
 
Iyo ni call divert USSD code.
Upo +260? pitia Eastern province tuongee kiswahili huku.
 
Back
Top Bottom