Ninaomba ushauri driving licence yangu imefikia ukomo

Kiby

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
6,897
4,620
Heshima yenu wakuu.
Nije moja kwa moja katika kusudi.
Ninaomba ushauri driving licence yangu imefikia ukomo tarehe ya jana 31/07/2019. Nilikuwa sina habari hadi leo hii nilipoikagua na kugundua hilo.
Naomba msaada wa kisheria.
, je kuna uwezekano wa grace period ya mimi kuendelea kuitumia hadi nitakapo chukua nyingine?
Licence yenyewe ni hizi za SADC ambapo mahali pa kuihuisha ni Lusaka Zambia.
Natarajia kuendesha gari kutoka mkoani hadi Dar jumatatu ya tarehe 04/08/2019.

Heshima kwenu wakuu!!
 
Tumia tu expired date hawaangalii sana ukijishitukia basi utakamatwa kuwa cool iweke juu ya gari hakuna atayekusumbua, utapigwa faini tu 30k unaogopa nini!
 
Back
Top Bottom