Kiby
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 6,933
- 4,709
Kuna utapeli mkubwa sana unaoendelea katika mitandao yetu ya simu.
Kabla ya kuweka data zote kuhusu huu wizi wa kimtandao na kuwashtaki Tigo TCRS naomba kwanza nipate mchango wa mwanachama yeyote aliyewahi kujiunga na bima yeyote ya huu mtandao iwe ni ya ajali ama kulazwa nk akalipwa madai yake baada ya kulazwa au kupata ajali.
Tuanzie hapo kwanza ili mambo yawe wazi isije ikawa ni kama vile vyuo vilivyokuwa vikiendeshwa kwa utapeli wanafunzi walipokuja gundua kwamba hakuna mwanafunzi hata mmoja aliyewahi kufaulu baada ya kuhitimu chuo na kurudi mwakao.
Huu utapeli usingegundulika kama sii ujanja wa wahitimu walipotafutana mmoja kwa mwingine kwa njia ya mtandao kuulizana matokeo ya kuhitimu kwao. Hapo ndipo walipofanikiwa kumtoa nyoka pangoni.