Channel gani Azam wanaonesha tamthiliya ya Brothers?

Kiby

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
6,899
4,623
Naomba wenye kuelewa ni chaneli ipi na mda gani kupitia king'amuzi cha Azamtv wanaonyesha tamthilia ya brothers( Cardo Dalisay) kwa tafsiri ya kiswahili?
 
Wajuzi wanakuja kwa kasi ya ajabu kukupa miongozo.

TULIA HAPO HAPO MKUU.

KaziKwelikweli/JobTrueTrue
 
Naomba wenye kuelewa ni chaneli ipi na mda gani kupitia king'amuzi cha Azamtv wanaonyesha tamthilia ya brothers( Cardo Dalisay) kwa tafsiri ya kiswahili?

Pia ni ombi langu kujuzwa mda na chaneli katika dish la dstv-zambia kwa lugha ya kiingereza.

Kwa sasa nipo Zambia na nilikuwa nafuatilia kupitia channel 400 Startimes Tanzania.
Wadada wa kazi mnapenda sana hizo kitu. Na kazi huwa hamfanyi. Mimi mke wangu huwa hataki kabisa kutumia azam.
 
Back
Top Bottom