Kiby
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 6,933
- 4,704
Leo tarehe 25 mwezi wa pili tatu mzuka wamekuja na droo ya kitapeli kwa mshindi wa milioni 60.
Namna walivyozishirikisha namba za kuchagua kati ya 1 hadi 6 kwa watu wawili pamoja huku wakijua wazi kwamba ni vigumu mno mmoja achague zote tatu mzuka na wa pili akose zote tatu mzuka.
Kwa kweli hapa uwezekano wa kushinda milioni 60 kwa huu mtego ni 0.0001.
Ni afadhali hawa wachezesha kamari wawaweke wazi masikini wa kitanzania wanaowakwapua mamilioni ya pesa kwamba droo kama haikutosha kutoa zawadi tarajiwa kwa mshindi, iahirishwe hadi wiki inayofuata.