Neema kwa wafanya biashara

Neema kwa wafanya biashara

Kiby

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2009
Posts
6,933
Reaction score
4,709
Tunauza korosho ghafi kwa wafanya biashara.
FB_IMG_1550756258839.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikulu inafanya biashara ya korosho badala ya kuweka mifumo ya biashara kwa wafanyabiashara na wakulima.
 
mnauza kwa magunia ama reja reja?? kama wauza karanga mtaani, me naitaji za kula me mwenyewe.. Kama kuna uwezekano njo PM tufanye biashara[emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom