Search results

  1. Msigazi Mkulu

    Tabia ya wanafunzi na makundi ya vijana kupiga kelele wakiwa gari walizokodi njia nzima ipigwe marufuku

    Karibia mwezi mzima nipo jijini Mwanza, jambo ambalo halikunifurahisha ni hili la wanafunzi au makundi ya vijana kupiga kelele njia nzima, bora hata wangekuwa wanaimba ila wao ni kelele tu wooioiii,wooo,weeee, hadi mtu unajiuliza wamepatwa na nini hawa watu, ni ushamba wa kusafiri au nini maana...
  2. Msigazi Mkulu

    Nini kifanyike vijana watumie neno possession badala ya position

    Imekuwa kawaida hapa Tanzania karibia maeneo yote kukuta vijana wakiongelea mpira kutumia neno position badala ya possession wanapokuwa wakimaanisha umiliki wa mpira. Na maandishi huwa wanawekewa kabisa possession kwa mfano Yanga 30%- Simba 70% lakini bado wanaendelea kutamka ilo neno pozisheni...
  3. Msigazi Mkulu

    Nini tiba ya harufu mbaya na kali kutoka Puani.

    Nina jihisi nina hili tatizo maana nikiwa kwenye vyombo vya usafiri watu ugaeuzia shingo zao pande mwingine na wife hawezi lala tumetazamana. Nilichukua hatua ya kwenda hospitali mara mbili tena kubwa nikiwaeleza nina tatizo la kutoa harufu mbaya mdomoni mara zote madaktari wa meno wameniambia...
  4. Msigazi Mkulu

    Kupata site za Psychometric Assessment Tests, zisizolipiwa

    Habari zenu wana JF, kuna maombi ya kazi niliomba kwenye NGO fulani,sasa wameonesha nia ya kufanya kazi na mimi hivyo nimetumiwa fomu ya kujaza na baadae niitume ikiwa pamoja na Psychometric Assessment Report/ Certificate. Nilipewa na link zao hayo wanaotoa hizo assessment ambapo mojawapo ni...
  5. Msigazi Mkulu

    MIKOPO NMB, Kuna tatizo gani mbona mikopo inachukua muda mrefu kutoka?

    Husika na mada tajwa hapo juu. Ni wiki sasa nimeomba mkopo NMB na kuwasilisha nyaraka zote lakini pesa haijaingia kwenye akaunti. Nimesha wauliza sana watu wa mikopo kwenye tawi hawatoi jibu sahihi kila siku subiri leo inatoka mara network. Hapa nataka kujua nini tatizo haswa au wahitaji...
  6. Msigazi Mkulu

    Hongera NECTA kwa hili: Mitihani Darasa la Saba kusimamiwa na Walimu wa Sekondari

    Nawapongeza sana Baraza la Mitihani Taifa kwa kuanza kudhibiti wizi wa mitihani hasa mitihani ya taifa ya darasa la saba na la nne. Kwa kuanza mwaka huu naona mmewateua walimu wa shule za sekondari kusimamia mitihani hiyo maana ndo waanga wa wizi wa mitihani kwa kuletewa wanafunzi wasiojua...
  7. Msigazi Mkulu

    Ajali zinarejea kwa kasi, mabasi yanatembea kwa kasi bila kudhibitiwa

    Siku hizi ukisafiri na mabasi unatamani ushuke,madreva wa mabasi wanakimbiza na kuovertake bila tahadhari, polisi kitengo cha usalama barabarani hawachukui hatua tena. Zile alarm za kuthibiti mwendo hazisikiki tena kwenye mabasi. Tunaomba polisi muendelee kudhubiti meendo kasi wa hawa madreva...
  8. Msigazi Mkulu

    Msaada: Nashindwa kutumia Microsoft Office kwa kuambiwa niingize office product key

    Habari za majukumu? Naomba msaada ili niweze kuendelea kutumia Microsoft Office. Nikifungua office yoyote naambiwa niingize office product key, hizi product key ninazitoa wapi na hili tatizo limeanza wiki hii. Nashindwa kufungua assignments zangu nilizokuwa nimefanya kwenye hii Laptop.
  9. Msigazi Mkulu

    Miaka ijayo tanzania hatutakuwa maeneo ya kulima. Wizara ya kilimo chukueni hatua

    Nimetembea maeneo mbalimbali naona maeneo ambayo yanajulikana kwa kilimo cha mazao hasa ya chakula watu wakianzisha makazi kwa kasi ya kubwa sana. Huwa nasikitika sana na kujiuliza hivi kweli watendaji wetu huwa wanafikiria wakati ujao kweli? Wizara ya kilimo imeshindwa kabisa kubainisha na...
  10. Msigazi Mkulu

    Hivi kwanini wasomi wa Tanzania wanaamini kuajiriwa ni Serikalini tu?

    Kuna tatizo sana kwa watanzania wasomi kuamini kuaijiriwa mpaka upate kazi serikalini. Hii mindset tunaweza kuiondoaje kwa wasomi? Mfano hai ni kwenye hizi ajira za walimu na wafanyakazi afya idadi kubwa imejitokeza kuomba ajira hizo na kupelekea kuonesha kuwa hapa Tanzania kuna tatizo kubwa la...
  11. Msigazi Mkulu

    Mwanza: Barabara zote za mjini zinakaribia kuzibwa na wamachinga, Mamlaka zinaangalia tu

    Husika na mada tajwa hapo juu, hali ni kusikitisha kabisa mitaa ya Mwanza mjini kati, machinga walianza kujenga pembeni kwa watembea kwa miguu na kwenye mabaraza sasa hivi wanajitanua hadi barabarani kabisa, barabara zimegeuzwa one way mwishoe wataziba kabisa. Swali kwa TANROAD NA TARURA ni...
  12. Msigazi Mkulu

    Walimu mmetengeneza chuki mbele ya jamii

    Ule msemo wa msikini haaminiki ndio uliojidhirisha katika hiki kipindi. Kitendo cha walimu kujitokeza kwa wingi kuomba kazi za kusimamia uchaguzi wakati wakijua hali ya kidemokrasia nchini haipo fair na ya kidhalimu, kimedhihilisha kuwa umasikini upelekea mtu kuwa mjinga. Haya sasa walimu...
  13. Msigazi Mkulu

    Msaada: Tiba ya harufu mbaya toka puani

    Hili limekuwa tatizo sana hasa huku Kanda ya Ziwa. Nini tiba au kinga ya hili tatizo la kutoka harufu mbaya puani hasa kwa wanaume?
  14. Msigazi Mkulu

    Vodacom na usumbufu katika kusajili kwa alama za vidole

    Watu wengi ikiwemo mimi wanalalamika sana usumbufu wanaoupata pindi wanapoenda kusajili laini zao za Vodacom kwa alama za vidole. Majina ya mteja aliyosajiliwa awali yakikutwa yametofautiana na ya kwenye kitambulisho usajiri haufanyiki na kuwaelekeza wateja waende mahakamani kuapa kitu ambacho...
  15. Msigazi Mkulu

    Makala: Walimu wa shule wapata nafasi ya kuwakomoa walimu

    Wakuu wa shule wapata nafasi ya kukomoa walimu. NA RUSTON MSANGI. Ni wiki kadhaa sasa walimu wengi nchini wamekuwa katika msongo wa mawazo, hii ni kutokana na agizo la serikali linalotaka walimu wa sekondari wa stashahada na shahada wanaosemekana ni wa ziada kwa masomo ya sanaa wapelekwe...
  16. Msigazi Mkulu

    Degree sasa hivi haina umuhimu. Walimu wenye degree ndo waliopelekwa msingi, diploma wamebaki wanakula bata sekondari

    Habari zenu ndugu, Katika hali ya kustaajabisha jana wilaya ya Muleba wametoa orodha na barua ya walimu wa kwenda shule za msingi huku idadi kubwa ikiwa na wenye shahada ya kwanza. Imebainika pia wakuu wa shule ndo walikuwa wanapendekeza hivyo kuwatoa wale waliokuwa wanaonesha ni threat kwao na...
  17. Msigazi Mkulu

    Simu yangu TECNO C9 inaisha chagi haraka,Je inatengenezeka?

    Habari zenu wakuu,Simu yangu Tekno C9 inaisha chagi haraka na betri imetengenezewa ndani. Je kuna wataalamu wa kuweka betri nyingine au ndo imekwisha kabisa. Tatizo lilianza taratibu ilipokuwa chaji ya 20% inazimika sasa hivi ni asilimia 85% inazimika tayari. Msaada wenu wakuu. Simu ina mwaka...
  18. Msigazi Mkulu

    Wizara ya Elimu na TAMISEMI ovyo kabisa. Wakuu wa shule ndo wanaamua nani aende msingi nani abaki sekondari

    Habari zenu wana JF, na mimi nimeguswa sana na hili suala la kuhamisha walimu wa sekondari kwenda shule za misingi. Ni jambo ambalo limewanyima raha na kuwasononesha walimu. Kibaya zaidi wakurugenzi wamewaagiza maafisa elimu wawaambie wakuu wa shule ndo wapeleke orodha ya walimu wanaopaswa...
  19. Msigazi Mkulu

    Mwalimu wa kubadlishana naye: Aje Biharamulo niende Arusha jiji

    Nahitaji mwalimu wa kubadilishana naye kituo idara ya Sekondari,aje Biharamulo niende Arusha jiji.
  20. Msigazi Mkulu

    Ushahuri; Postgraduate diploma ya Compyuting,soko la ajira lipoje?

    Heri ya xmass wapendwa. Kama kichwa cha habari kilivyo,nataka mwakani nikasome postgraduate diploma chuo cha uhasibu Arusha,nilipoingia kwenye website yao nikaona kuna kozi inaitwa PD in Compyuting nikawaka interested nayo. Je soko la ajira lipo? Nataka kutoka huku kwenye ualimu ni kupoteza muda tu.
Back
Top Bottom