Kupata site za Psychometric Assessment Tests, zisizolipiwa

Msigazi Mkulu

JF-Expert Member
Dec 22, 2013
4,110
3,269
Habari zenu wana JF, kuna maombi ya kazi niliomba kwenye NGO fulani,sasa wameonesha nia ya kufanya kazi na mimi hivyo nimetumiwa fomu ya kujaza na baadae niitume ikiwa pamoja na Psychometric Assessment Report/ Certificate. Nilipewa na link zao hayo wanaotoa hizo assessment ambapo mojawapo ni Elite international Consultancy, nimeingia na kukuta ada inayohitajika sina uwezo wa kulipia ndo maana nimekuja kwenu kuomba kama kuna site nyingine zinazotoa hizo assessments bure nijaribu huko ili nipate nijikwamue.
 
Back
Top Bottom