Tabia ya wanafunzi na makundi ya vijana kupiga kelele wakiwa gari walizokodi njia nzima ipigwe marufuku

Msigazi Mkulu

JF-Expert Member
Dec 22, 2013
4,110
3,269
Karibia mwezi mzima nipo jijini Mwanza, jambo ambalo halikunifurahisha ni hili la wanafunzi au makundi ya vijana kupiga kelele njia nzima, bora hata wangekuwa wanaimba ila wao ni kelele tu wooioiii,wooo,weeee, hadi mtu unajiuliza wamepatwa na nini hawa watu, ni ushamba wa kusafiri au nini maana wanaofanya hivi ni kutoka shule za kata.

Naomba mamlaka ishukue hatua kwa kuwaagiza wakuu wa shule kusimamia safari za wanafunzi wasiwe kero kwa watu wengine, lakini pia wakumbushwe kuwa shuleni ni sehemu ya kuwajengea ustaarabu na hapo wanaonekana wamefeli kwa hilo.
 
Dereva kanyagq gia....mafuta tumelipia......x10
 
Sio wanafunzi tu, kuna wafanyakazi wa TANESCO na JKT pia.
Karibia mwezi mzima nipo jijini Mwanza, jambo ambalo halikunifurahisha ni hili la wanafunzi au makundi ya vijana kupiga kelele njia nzima, bora hata wangekuwa wanaimba ila wao ni kelele tu wooioiii,wooo,weeee, hadi mtu unajiuliza wamepatwa na nini hawa watu, ni ushamba wa kusafiri au nini maana wanaofanya hivi ni kutoka shule za kata.

Naomba mamlaka ishukue hatua kwa kuwaagiza wakuu wa shule kusimamia safari za wanafunzi wasiwe kero kwa watu wengine, lakini pia wakumbushwe kuwa shuleni ni sehemu ya kuwajengea ustaarabu na hapo wanaonekana wamefeli kwa hilo.
 
Ni watoto wasamehe muhimu ni dereva awe makini tu barabarani. Ni hatua za ukuaji tu
Kuna hoja nzuri,kuna moment huzipati tena.kuna wale wanahitim na hawapati kushiriki sherehe ama kupata pongezi,ila akikumbuka haya na mazuri mengine basi anafarijika!
 
We unazungumzia waliokodi? Panda gari ya mwendokasi jioni inayotokea muhimbili then check mziki wa wanafunzi, yahitaji kupuuzia tu
 
Mimi kero yangu ni hawa waubiri vituo vya daladala na mabasi , ndani ya mabasi pia . Kwakweli wanasumbua na kuwa omba omba . Kama sadaka wasubiri makanisani, unakuta stand mfano pale mbezi wamejaza masipika kelele kibao kazi watafanya saa mgapi . Ama ndio njia nyingine ya utapeli
 
Kuna yule baunsa pale Mbezi na spika kila siku ni kuchukua Mia Mia za kondoo.
 
Back
Top Bottom