Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,110
- 3,269
Husika na mada tajwa hapo juu, hali ni kusikitisha kabisa mitaa ya Mwanza mjini kati, machinga walianza kujenga pembeni kwa watembea kwa miguu na kwenye mabaraza sasa hivi wanajitanua hadi barabarani kabisa, barabara zimegeuzwa one way mwishoe wataziba kabisa.
Swali kwa TANROAD NA TARURA ni hili, mlijenga hizo barabara ili yawe masoko au ni kwa ajili ya matumizi ya usafiri? Mbona hakuna hatua mnazochokua?
Swali kwa TANROAD NA TARURA ni hili, mlijenga hizo barabara ili yawe masoko au ni kwa ajili ya matumizi ya usafiri? Mbona hakuna hatua mnazochokua?