MIKOPO NMB, Kuna tatizo gani mbona mikopo inachukua muda mrefu kutoka?

Msigazi Mkulu

JF-Expert Member
Dec 22, 2013
4,110
3,269
Husika na mada tajwa hapo juu. Ni wiki sasa nimeomba mkopo NMB na kuwasilisha nyaraka zote lakini pesa haijaingia kwenye akaunti.

Nimesha wauliza sana watu wa mikopo kwenye tawi hawatoi jibu sahihi kila siku subiri leo inatoka mara network. Hapa nataka kujua nini tatizo haswa au wahitaji tumekuwa wengi kuzidi kilichopo?

Hapo tawini nilikutana na mzee analalamika kuwa aliomba mkopo tangu mwezi wa sita mpaka wiki iliyopita akawa hajaambulia chochote.
 
Back
Top Bottom