Ushahuri; Postgraduate diploma ya Compyuting,soko la ajira lipoje?

Ushahuri; Postgraduate diploma ya Compyuting,soko la ajira lipoje?

Msigazi Mkulu

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2013
Posts
4,184
Reaction score
3,421
Heri ya xmass wapendwa. Kama kichwa cha habari kilivyo,nataka mwakani nikasome postgraduate diploma chuo cha uhasibu Arusha,nilipoingia kwenye website yao nikaona kuna kozi inaitwa PD in Compyuting nikawaka interested nayo. Je soko la ajira lipo? Nataka kutoka huku kwenye ualimu ni kupoteza muda tu.
 
Ujinga mkuu kuliko wote kwa msomi ni kuongeza elimu ili atafute mshahara wa kuajiliwa!! Kizazi cha wasomi msipo badilika mkaacha kutumainia mshahara, mtaendelea kuishi mshahara na kumilikiwa na wasio wasomi wenye uthubutu.
Toa ushauri basi acha kutukana,kumbuka hatuwezi kuwa sawa kiuwezo wa king'amua mambo. Tangu nizaliwe maisha ni msoto mkali na hapa ndo umezidi kabisa kwahiyo ndo najribu kutafuta njia mbadala ili nijikwamue bosi. Ila kama una mchongo wa bussiness tuwasiliane na mimi nijifunze taratibu baadae nitasimama mwenyewe. Asante.
 
Mkuu ushauri wa jamaa ndio wa maana hapo.

Usiwaze kuajiriwa tena ndugu... hiyo ela ya ada itumie kama mtaji wa kitu hata kama ni kidogo tu.

Kuajiliwa sio ishu zama hizi
 
Back
Top Bottom