microsoft office

  1. Programu za PC

    Unatafuta Microsoft Office Professional Plus 2019 + Free Activation key

    Nafanya installation ya Microsoft Office Professional Plus 2019 + Free Lifetime Activation Key, package ina:- 1. Word 2. Excel 3. Power Point 4. Access 5. Outlook 7. OneNote 8. OneDrive 9. Skype & Skype for Business 10. Publisher -> cost: 15,000 Tshs -> 0763 84 84 32 -> Location: Dar es...
  2. Programu za PC

    Je, unahitaji software ya kukusaidia kazi / biashara yako?

    Habari, Je unahitaji software yoyote katika kazi / biashara zako. Nipo hapa kukusadia kupata software yoyote unayotaka katika kukusaidia kazi / biashara yako. Software au program katika kifaa chako cha kazi kama kompyuta au simu. Nitajie sofware au kazi yako inayohitaji software maalum...
  3. Orketeemi

    Microsoft office ipi ni bora zaidi?

    Wakuu salama? Naomba kujuzwa ni Microsoft office ipi ni bora zaidi? Ikiwezekana nisaidie na link ya kuipata. Shukrani
  4. R

    Kiswahili in microsoft office application

    Habari wadau Hivi nifanye nini ili niweze kuandika kisahili vzr katika Microsoft Office application km ms word nakadhalika ukidownloadi Kiswahili languange pack na ukiiweka humo bado maneno mengi hayamo je kuna extension yoyote inaweza kusaidia katika hili Natanguliza shukrani za dhati...
  5. Msigazi Mkulu

    Msaada: Nashindwa kutumia Microsoft Office kwa kuambiwa niingize office product key

    Habari za majukumu? Naomba msaada ili niweze kuendelea kutumia Microsoft Office. Nikifungua office yoyote naambiwa niingize office product key, hizi product key ninazitoa wapi na hili tatizo limeanza wiki hii. Nashindwa kufungua assignments zangu nilizokuwa nimefanya kwenye hii Laptop.
  6. I

    Msaada: Setup ya Microsoft office 2007

    Poleni na majukumu ya kila siku, jamani naombeni kupatiwa hiyo program "Microsoft Office 2007 with product key". PC yangu haina hii program inanikosesha raha ya kuitumia. Mwenye nayo msaada tafadhali!
  7. Gutapaka

    Nauza Notes za Microsoft Office

    Nauza notes za Microsoft word nimeelezea Kila kitu kwa picha hatua kwa hatua, Ni nzuri kwa watu wote wanaotaka kujifunza na waliojifunza. , Ufafanuzi Commands zote katika Lugha ya Kiswahili isipokuwa Majina ya tabs yamebaki kwa Kiingereza. Gharama Ni Tsh. 5000 piga simu 0685-513-806 ili...
  8. Tukudzi

    Jinsi ya kubadilisha lugha ya kompyuta iwe Kiswahili

    Ungependa kubadilisha lugha ya tarakilishi yako kutoka Kimombo hadi Kiswahili? Ungependa kutumia Microsoft Office kwa Kiswahili? Basi fuata maagizo haya. Kitu cha kwanza unachofaa kujua ni kuwa Windows hutumia faili aina ya LIP (language interface pack) kuwezesha lugha zisizo Kimombo kuonyeshwa...
Back
Top Bottom