Simu yangu TECNO C9 inaisha chagi haraka,Je inatengenezeka?

Msigazi Mkulu

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2013
Posts
4,184
Reaction score
3,421
Habari zenu wakuu,Simu yangu Tekno C9 inaisha chagi haraka na betri imetengenezewa ndani. Je kuna wataalamu wa kuweka betri nyingine au ndo imekwisha kabisa.
Tatizo lilianza taratibu ilipokuwa chaji ya 20% inazimika sasa hivi ni asilimia 85% inazimika tayari. Msaada wenu wakuu. Simu ina mwaka na nusu tangu inunuliwe. Nipo mkoani Kagera.
 
Uliinunua Wapi? Kama Uliinunua kwny maduka yao unaweza kuwapelekea if walikupa guarantee/warranty na bado haijaisha km hauna usipelekee kwa fundi wa kawaida tafuta duka la wenye techno watakusaidia
 
Asante kwa ushauri, warranty ishaisha muda wake ilikuwa ni mwaka mmoja.
 
Habari zenu wakuu,Simu yangu Tekno C9 inaisha chagi haraka na betri imetengenezewa ndani. Je kuna wataalamu wa kuweka betri nyingine au ndo imekwisha kabisa.
Tatizo lilianza taratibu ilipokuwa chaji ya 20% inazimika sasa hivi ni asilimia 85% inazimika tayari. Msaada wenu wakuu. Simu ina mwaka na nusu tangu inunuliwe. Nipo mkoani Kagera.
Mara ya Mwisho kuifanyia factory reset ni lini?
 
Back
Top Bottom