Search results

  1. U

    Salaam kwa wote chitchat kutoka kwa Uporoto01.

    Mi uporoto01 nikiwa Nairobi nawasalimu wana chitchat popote mlipo wageni na wakongwe.Nilikuwa bongo kwa muda wa miezi miwili na sasa nimerudi kituo changu.
  2. U

    Naweza pata kazi Tanzania?

    Hili ni swali nalokutana nalo kila siku napoongea na Wakenya katika mihangaiko yangu hapa Nairobi.Hivi huko Bongo mkikutana na Wakenya huwa mnawauliza nini? Nipo hapa Natural Heritage iliyopo Kenyatta Market naangalia Man U wakicheza na Wigan wakigombea ngao kabla ya ligi kuanza rasmi wiki ijayo.
  3. U

    Eid Mubarak wapenzi wa Chit-Chat.

    Nawatakia Eid njema members wote wa chit-chat popote walipo,wengine wanasherekea leo na wengine kesho la muhimu nawatakia afya njema na furaha maishani mwenu.
  4. U

    Nawasalimu wote.

    Nimeamua kupita hapa leo nawasalimu Lizzy,Husninyo,King'asti,Sweetlady,Firstlady,The Boss,Figaniga,Bubu msemaovyo, The reverand Masanilo,Erick,na marafiki zangu wote wa enzi hizo za 09/10.
  5. U

    Nafuturisha mwezi mtukufu nyumbani kwangu mtaa wa Kanazi,k'ndoni B.

    Nawaalika wana Jei Efu wote kufuturu na mimi kwangu saa 12 na nusu mpaka 1 usiku,sichagui kabila,mkoa utokao wala dini lakini uwe na akili timamu,walafi marukufu*(hahaha!).
  6. U

    Hali ni mbaya kwa Marekani huko Afghanistan.

    Hali imekuwa mbaya kwa Marekani baada ya Marines kuambiwa kuacha silaha zao nje walipokutana na waziri wa ulinzi wa Marekani Leon Panneta juzi kwa kuhofia wanaweza kumdhuru.Jambo hili halijawahi kutokea na Marines ni kikosi kinachoaminika sana na kinachopata mafunzo ya hali ya juu kuliko vikosi...
  7. U

    Meya apiga marufuku Kufa.

    Meya wa mji mdogo nje ya jiji la Napoli nchini Italy amepiga marufuku wakazi wa mji huo kufa mpaka makaburi mengine yatakapo idhinishwa baada ya makaburi yaliyokuwepo kujaa. source: bbc.co.uk/news
  8. U

    Vituko vya daktari.

    Mgonjwa alipiga simu kwa daktari bingwa ili kufanya appointment na maongezi yakawa hivi. Mgonjwa- 'daktari nahitaji kukuona naumwa'. Daktari- 'hamna nafasi mpaka wiki ijayo' Mgonjwa- 'naumwa sana nikifa kabla ya wiki je' Daktari- 'ukifa kabla mkeo apige simu ili tufute appointment'
  9. U

    Need for a national conference.

    The way things are going on in our nation there is a need for a national conference to evaluate the last 50 years and lay a plan for the next 50 years.This national conference will involve experts from all sectors,economic,agriculture...
  10. U

    Usahaulifu ndio udhaifu wetu.

    Kila ukikaribia uchaguzi mkuu na miezi kadhaa baada yake kunakuwa na kelele nyingi kuhusu ubovu wa tume ya uchaguzi, lakini kelele hizi hupotea kabisa na kutokupewa tena umuhimu mpaka wakati wa uchaguzi ambapo tunakuwa tumechelewa.Bila tume huru ya uchaguzi malalamiko hayataisha,tume iliyopo...
  11. U

    Kompyuta mpakato.

    Nimeshangaa kusoma kwenye gazeti leo kumbe laptop inaitwa kompyuta mpakato lol!
  12. U

    wasichana wanaopotea kwao.

    Kila kikicha kwenye TV,redio na magazeti kunakuwa na taarifa ya wasichana wa kuanzia miaka 16-19 wanaotangazwa kupotea kwao au kutokuonekana kwa muda hivyo wazazi na ndugu kulazimika kuomba msaada wa umaa kama wamewaona na picha zao kuchapishwa. Huwa najiuliza hivi hawa wamepotea au wameangukia...
  13. U

    Anaitwa Cameron sio Cameroon.

    Napenda kuwajulisha wengi hapa JF kuwa waziri mkuu wa Uingereza anaitwa David Cameron na sio Cameroon kama wengi mnavyo andika hapa. Cameroon ni nchi ya kiafrica huko Africa ya kati. Asanteni.
  14. U

    Nawasalimu wote nawapenda sana asanteni kwa PM zenu.

    Samahani kwa kutokuonekana hapa kwa muda laptop yangu imegoma kufanya kazi nawashukuru wote 32 mlionitumia PM asanteni kwa kunipenda nami nawapenda pia,nawatakia wiki njema.
  15. U

    Nawashukuru sana wana JF.

    Shukrani za dhati kwa wote walionipa pole hapa,waliotuma sms/e-mail,waliopiga simu(dena e.t.c) na waliokuja msibani (Faizafoxy e.t.c) nawashukuru sana kwa faraja zenu na nimeamini JF ni zaidi ya keyboard.
  16. U

    Nimefiwa na Mama yangu usiku wa kuamkia 19.11.2011 na kuzika jana.

    Wakuu nimefiwa na mama yangu mzazi aliyekuwa mgonjwa wa kitandani(bedridden) kwa muda wa mwaka na nusu.
  17. U

    Msisikitike, kuna njia ingine

    Miaka kadhaa iliyopita Kibaki alitaka kufanya hichi anachokifanya sasa Jakaya ya kuandika katiba anayoitaka yeye sasa baadae kutakiwa kuwa na kura ya maoni kuikubali au kukataa njia hii.Wapenda mageuzi wa kweli wakajipanga na kupita nchi nzima kuipinga na kuwashawishi watu waikatae kwa kupiga...
  18. U

    Uwongo tunaousema kwenye Mabaa.

    Kona hii tuweke uwongo tunaousema au tuliousikia ukisemwa Baa. Mi nilisikia njemba meza ya pili akimwambia binti eti yeye ana hela nyingi mpaka meneja wa benki huwa anamletea nyumbani,nikawaza mbona hata kina Bakhresa huwa tunagongana kwenye Mabenki ? sawa hawakai foleni kama sisi lakini...
  19. U

    Eid mubarak kwa marafiki zangu wa MMU.

    Nawatakia wadau wa MMU Eid njema,afya nzuri na furaha tele,kwa kipindi cha zaidi ya miaka 2 wa kuwa member hapa JF nimetokea kulipenda jukwaa hili na kufahamiana na wengi(thru keyboard),kuna wengine tunatumiana PM na wengine tumewasiliana kwa simu,sms na e-mail pia.. Siku hii naomba msamaha kwa...
  20. U

    Currency speculation at work in Tanzania.

    Last wednesday 23rd i was called by a friend and told if you have extra cash buy dollars for a quick profit,i bought US d 10000 at 1735 each and the next day it had reached 1830 and it being my first time i sold my dollars and made nearly a million shillings in a day.I bought the dollars at...
Back
Top Bottom