Eid Mubarak wapenzi wa Chit-Chat.

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Nawatakia Eid njema members wote wa chit-chat popote walipo,wengine wanasherekea leo na wengine kesho la muhimu nawatakia afya njema na furaha maishani mwenu.
 
Nawatakia Eid njema members wote wa chit-chat popote walipo,wengine wanasherekea leo na wengine kesho la muhimu nawatakia afya njema na furaha maishani mwenu.

Umerudi Jombaa?:yo:
Habari za Masiku Kiongozi?
Mkuu hebu fanya Mchakato umrudishe na Klorokwini.. Manake alipotea na deni langu yule
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom