Kompyuta mpakato. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kompyuta mpakato.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by uporoto01, Mar 13, 2012.

 1. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nimeshangaa kusoma kwenye gazeti leo kumbe laptop inaitwa kompyuta mpakato lol!
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ulikuwa hujawahi kusikia ikiitwa hivyo?
   
 3. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  nami ndio nasoma hapa kwako kaka!japo PAKATA sio neno zuri kabisa!kweli kiswahili kinapwaya!
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Inabidi muwekeze katika kamusi mpya za Kiswahili sanifu.
   
 5. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sijawahi,miaka yote naskia laptp kwa kiswahili au kiingereza leo ni mara ya kwanza kusikia neno hili.
   
 6. S

  SI unit JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hebu assume umeenda dukani kununua 'laptop', utatumia hilo neno (kompyuta mpakato) au utalienzi neno 'laptop' kama kawaida.
  ...
  Its me SI unit
   
 7. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 1,262
  Trophy Points: 280
  kompyuta mpakato ..mbona bado kizungu...wangesema tarakishi mpakato..kama cjakosea
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Kiswahili kigumu sana ndo naona saa hizi
   
 9. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mambo Dena longtime no see.
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Mar 13, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160

  Wewe umebadili namba ya simu tutaonanaje??
  Niko mzima kabisa mie
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  screw = parafujo

  Mkandarasi amekuja kutengeneza parafujo ya komputa mpakato.
   
 12. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahaha! niliwatapeli watu ikabidi nibadili namba lol! nitakutumia ingine kwenye PM sasa hivi pole kwa usumbufu rafiki.
   
 13. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #13
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Shem usalama upo?hi mpakato ndio naijulia kwako,na zile desk top zinaitwaje!hiki kiswahili jaman!
   
 14. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,577
  Likes Received: 846
  Trophy Points: 280
  kila neno litakuwa baya ikiwa litatumiwa vibaya, mkwe.re si neno baya lakini kutokana na wana-jf kulitumia vibaya imebidi mods waweke ******
   
 15. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,577
  Likes Received: 846
  Trophy Points: 280
  mmeanza..
   
 16. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Ngamizi mpakato neno kompyuta lenyewe si kiswahili
   
 17. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Naona hapa chini hata kompyuta ni kosa eti ni Ngamizi kwahiyo ya mezani itaitwa Ngamizi meza lol!

   
 18. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #18
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Khaaaaaa!mie napata ugwadu kutamka ngamizi lol!mie nitaendelea na nilivozoea bana!unaweza tamka mbele ya watoto ndio ukawachanganya kbs!
   
 19. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #19
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Inaitwa tu ngamizi hivyo hivyo...
   
 20. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #20
  Mar 13, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kama taifa tayari tumeshawachanganya watoto wetu,darasa la 1-7 kiswahili,form 1-4 kiingereza,inabidi kama taifa tuamue kiswahili mpaka chuo kikuu au kiingereza kianze darasa la kwanza kama jirani zetu Malawi,Zambia,Uganda na Kenya.
  Tunawapotezea kujiamini ndio maana utakuta hata hapa JF mtu wa chuo kikuu lakini uelewa wa kiingereza mbuvu kabisa na akikutana na majirani wa nchi zinazotuzunguka ndio anaona aibu kabisa kuongea.
   
Loading...