Nawashukuru sana wana JF.

Nawashukuru sana wana JF.

uporoto01

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Posts
4,698
Reaction score
1,429
Shukrani za dhati kwa wote walionipa pole hapa,waliotuma sms/e-mail,waliopiga simu(dena e.t.c) na waliokuja msibani (Faizafoxy e.t.c) nawashukuru sana kwa faraja zenu na nimeamini JF ni zaidi ya keyboard.
 
mshukuru mungu umemaliza matatizo salama nasi twafurahia muonekano wako kwa mara nyingine..
 
Mkuu,
Sifa na shukrani na tunazipokea, lakini hatutakaa nazo sisi, tunazirudisha kwa anayestahili, Mungu Pekee!
Karibu sana Broda!
 
Karibu tena uyaanze maisha mapya. Cha muhimu ni kusahau yaliyopita.
 
Tunazidi kukuombea faraja na utulivu kwenye hiki kipindi kigumu kwako na familia.

Tupo pamoja ingawa wengine hatuwezi kujiexpose lakini fahamu tupo pamoja nawe ktk hali yoyote ile.
 
Back
Top Bottom