Nafuturisha mwezi mtukufu nyumbani kwangu mtaa wa Kanazi,k'ndoni B.

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Nawaalika wana Jei Efu wote kufuturu na mimi kwangu saa 12 na nusu mpaka 1 usiku,sichagui kabila,mkoa utokao wala dini lakini uwe na akili timamu,walafi marukufu*(hahaha!).
 
mmh ingekuwa karibu wallah ningekuja kula halua,kababu,kabibi,kajukuu......huwa vitamu sanaaaa
 
Tuwekee MENU kabisa hapaa, lol. wengine hatujui futari huwa ina madikodiko gani
 
Nawaalika wana Jei Efu wote kufuturu na mimi kwangu saa 12 na nusu mpaka 1 usiku,sichagui kabila,mkoa utokao wala dini lakini uwe na akili timamu,walafi marukufu*(hahaha!).

Oya, nishakuinbox namba yangu. Nikitoka kibaruani tu nina wewe, mfungo 1 mpaka mfungo 30, na zile 6 tutakuwa pamoja pia.
Inshallah...
 
Last edited by a moderator:
Baby hakikisheni mnapiga zile pamba nlizowanunulieni Dubai, sawa eh?

Hehehe!! Umeingia chooo cha kike ukasahau kuchuchumaa? cacico, BADILI TABIA na Yummy ni wake halali wa ODM mimi. Tena siyo wa Type ya Rose Kamili na Dr. Slaa, bali kama Obama na Michelle.

Ahsanteee...ila vizuri kula na ndugu zako banaaa
 
Sina imani na huu mwaliko, mbona kama mwalika kakimbia? uporoto wengine tunatamani futari, toa fidbak za kutosha basi..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom