Hali ni mbaya kwa Marekani huko Afghanistan.

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Hali imekuwa mbaya kwa Marekani baada ya Marines kuambiwa kuacha silaha zao nje walipokutana na waziri wa ulinzi wa Marekani Leon Panneta juzi kwa kuhofia wanaweza kumdhuru.Jambo hili halijawahi kutokea na Marines ni kikosi kinachoaminika sana na kinachopata mafunzo ya hali ya juu kuliko vikosi vingine vyote na hutakiwa kuwa na silaha karibu wakati wote.
Kitendo hichi cha kutokuaminiwa kimewavunja Marines moyo na huenda kikaathiri utendaji wao katika vita.

source: msnbc.com
 
Mkuu jamaa aliyeuwa wanakijiji ameleta mtafaruku. Tabia yake ni kinyume kabisa na Marines, kwa hiyo watu wanajiuliza why? inabidi wapate majibu kwanza kabla ya kuanza kuaminiana tena.
 
Back
Top Bottom