Nawasalimu wote.

Nawasalimu wote.

Last edited by a moderator:
Mmmmh? jamani hivi ni mimi tu au na nyie mmeona namna uporoto01 karudi pamoja na FaizaFoxy? mlikua wapi nyie? Halafu wote wamerudi hawajui kumention wala ku-tag, i almosed missed their return threads!
Karibu JF celebrity #1 , Karibu uporoto01. Bado bodyguard wangu klorokwini na team itakua imekamilika.
cc: AshaDii, Kaizer, The Boss, EMT, Mbu, MwanajamiiOne, Husninyo, afrodenzi, TIMING, Dena Amsi The Finest Lizzy Asprin Bishanga Kongosho na wengine wa enzi zileeee...

Hii ni habari njema, asante kwa kunishtua my niece... Sikuwa na habari kuwa uporoto01 my co-worker (ninae mdai pesa nyingi lol) karudi.

Hivi Uporoto yupo hapa naamini kabisa sasa uwa karibu klorokwini anarudi pia.
 
Last edited by a moderator:
Tena mie hajanimensheni, usingekuwa wewe nisingemuona

Karibu Uporoto, mlete na Klorokwin na Lizzy

Back
Top Bottom