wasichana wanaopotea kwao. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wasichana wanaopotea kwao.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by uporoto01, Mar 10, 2012.

 1. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kila kikicha kwenye TV,redio na magazeti kunakuwa na taarifa ya wasichana wa kuanzia miaka 16-19 wanaotangazwa kupotea kwao au kutokuonekana kwa muda hivyo wazazi na ndugu kulazimika kuomba msaada wa umaa kama wamewaona na picha zao kuchapishwa.
  Huwa najiuliza hivi hawa wamepotea au wameangukia mikononi mwa waharibibu ambao wamewaficha sehemu.
   
 2. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Hawapotei bana ni dili tu, tena iyo dili wanaipanga hao wadada wenyewe. Ukikuwa nao gesti wanakwambia acha nijipakazie nimetekewa ili tupate uhuru wa siku mbili tatu. Wanawake bana!
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hao wanakuwaga wameolewa....hakuna kitu kupotea hapo.....
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mzee Uporoto kabla hujatoa kibanzi machoni kwa mwenzio, anza na chako kwanza.
  Kuhusu uharibifu si ungeanza kumlaumu lile jibonge mama liliokuficha wewe? (Source Katavi's Sread )
   
 5. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nahisi wewe ni mmoja wao waharibifu lol!
   
 6. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mambo sis,sasa si wamalize shule kwanza mbona wanaharaka hivyo na pia shida wanayowapa wazazi.
   
 7. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahaha! Kabakabana mbona hajafikia umama jamani bado yuko kwenye twenties lol!
   
 8. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe kamanda hapo ulipo pengine umemficha mmoja. Umeanzisha hii sredi ili kucheki jamii inalichukuliaje tu hili suala. Uporoto bana
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  unajua bro...kuna umri binti akifika anapata mdudu wa kichwa kama yule wa kondoo...si unamjua..? basi ndio hivyo....
   
 10. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Judgement anamzungumzia mkeo husninyo sio kabakabana!
   
 11. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Kapo kamoja hapa kazini nazani kana huyo mdudu, samtaimu kanalia lia bure bila msiba, ukikashika bega tu kanaacha kulia kanasmile na kanajifanya kukushukuru kwa kiingereza.
   
 12. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwa kawaida anda twente huwa siongei nao kabisaa,kuna gelfrendi wangu alikuwa anawaita vinuka mkojo lol!
   
 13. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nawaonea huruma wazazi.
   
 14. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Kamanda si kuna siku nilikufuma unakatiza salenda na lulu? Unauza CD feki uporoto bana
   
 15. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Huyo husninyo ni member hapa Jei Efu ?
   
 16. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Lol ..... hehehehe Dah!
   
 17. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahaha! una kumbukumbu kweli mkuu,Lulu alikuwa anapiga picha za kutumika kwenye matangazo ya ofisi yetu, lakini Lulu si alitutangangazia kuwa sio mtoto tena kafikisha 18 na maombi yanakaribishwa ?
   
 18. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #18
  Mar 10, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  heh kweli mapenzi yana expiry date!
   
 19. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Khaaa, hahahaha! Jamani shemu ni wewe au naota....lol..

  Kuhusu wasichana kupotea inategemea bana, ila nijuavyo mimi asilimia kubwa( kuanzia 18 yrs na kuendelea) huwa wanajipeleka kwa wanaume.....we fikiria kabinti kaingie kwenye mikono kama ya jibaba klorokwini sangapi katakumbuka kurudi kwao? Wazazi wanasubiri weee mpaka wanachoka mwisho wanaamua kwenda kwenye vyombo vya habari kutangaza! Vipi shemeji umepotelewa au?
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Uporoto, mi nataka kujua
  unajisiaje unapokuwa na mwanamke mkubwa sana kwa volume.

  Na mie ntakupa ujuzi wa wadada wanaopotea.
   
Loading...