Eid mubarak kwa marafiki zangu wa MMU. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eid mubarak kwa marafiki zangu wa MMU.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by uporoto01, Nov 6, 2011.

 1. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,742
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Nawatakia wadau wa MMU Eid njema,afya nzuri na furaha tele,kwa kipindi cha zaidi ya miaka 2 wa kuwa member hapa JF nimetokea kulipenda jukwaa hili na kufahamiana na wengi(thru keyboard),kuna wengine tunatumiana PM na wengine tumewasiliana kwa simu,sms na e-mail pia.. Siku hii naomba msamaha kwa yeyote niliyewahi kumuudhi kwa njia yoyote ile mimi ni binadamu nina mapungufu yangu.
  Naomba kuwataja wachache ambao wamekuwa kama ndugu kupitia keyboard zetu,Husninyo,,Mbu,Mwanajamii,Nyamayao, Preta,Aspirin, Pakajimmy,Lizzy, klorokwini,Blackberry,Gaijin,Darkcity,Boss,Vivian,Keren,Katavi,Dena,Afrodenzi,Finest,Daughter,Aminata,Nemo,Nyani N, Russianrullete.Bebii,Voice of reason,Masanilo,Ivuga,Chatu,Ashadii,Bujibuji,Firstlady,Maria roza,Mamdenyi,King'asti,Sweetlady,Pauline,Michelle,Kiiza,Ruta,Bishanga,Kimbweka,Funza, Cheusimangala,Kaizer,Tusker,Fidel,Steve,bila kumsahau Invisible.Samahani kama jina lako limesahaulika nyie wote ni muhimu kwangu nawapenda kwa dhati.

  Nawatakia sikukuu na weekend njema yenye amani na utulivu.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,534
  Likes Received: 21,013
  Trophy Points: 280
  asante saana
  eid mubarak na wewe aisee
   
 3. Baba Sharon

  Baba Sharon JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 359
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Takabal Allahu minna wamikum..............Eid Njema na wewe Mkuu
   
 4. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,296
  Likes Received: 4,726
  Trophy Points: 280
  mkuu wanajibuje vile..!!??.kama vipi tuipotezee.nakutakia eid njema pia.mia
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  Nov 6, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Eid Mubarak nawe Uporoto1,
  :poa...hopefully it was a great day kwako....:poa

  BTW ndio nalog off nipo kuugulia hapa kwa kutotajwa.... (I kid)
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,039
  Likes Received: 3,798
  Trophy Points: 280
  Asante sana, nawe pia eid mubarak!
   
 7. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,742
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ya Asha we ni kimbunga who has taken JF by storm in the short time that you have been with us,we are honoured by your presence here,hujui kusoma hata picha huoni lol! hebu angalia vizuri bana acha haraka.
   
 8. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Oh, thank you so much! Sikuiona hii aisee. But I had a great eid, shukran Uporoto01!
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160


  You have melted all my anxiousness....lol...
  (bana mbona niliweka vielelezo kwenye mabano)
  Ni vile tu niliona nipo mbali saana na wandani wangu....lol
   
 10. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Asante sana rafiki..............hope you had great day.

  Nakutakia siku njema.

  Stay blessed.
   
 11. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,348
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  wee uporoto,hivi ni kweli we na TF mnavurumishana kumdaka Husninyo utadhani mpira wa kona? Mshindwe na mlegee!
  Mubarak wa Eid.
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,711
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Dah!!! Nimekula Idd yangu kwa Faiza Foxy hadi nikapitiwa kujibu hizi salamu za Uporoto aisee Uporoto arifu natumaini Idd yako ilikuwa swafi kabisa na murua. One Love brother.
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 46,765
  Likes Received: 14,307
  Trophy Points: 280
  Hivi kumbe leo sikukuu? Khaaa!

  Sasa kumbe huku kwa mkoloni nimekuja kufanya nini?

  Mbarikiwe wote, ngoja nikazimue fasta
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,993
  Likes Received: 2,714
  Trophy Points: 280
  asante bro...natumaini ulikuwa na siku njema......
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,194
  Likes Received: 1,588
  Trophy Points: 280
  uporoto1 my son,
  asante sana kwa baraka hizi za eid. naomba radhi sikuitika mapema manake ww na mkeo mmenikwaza kwa kutokuja kula biriyani (recipe niliibilizia kwa FF). ila mwana kwa mama hakui, nimeshawasameheni. asante kwa kuwa baraka kwetu
   
 16. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #16
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  Asante sana sikuiona hii jana nilikula pilau nikalala siku nzima sante sana dear
   
 17. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #17
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,382
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Asante sana Uporoto jana sikuiona hii ati sijui ndo hangover ,Hivi hujawahi kuniudhi kweli?
   
 18. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #18
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 180
  Yaani Sweetheart tumekuwa wote the whole day ila hata hujanambia kama umetuma salamu huku! Lol.
  Ahsante kwa outing ya jana.
   
 19. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #19
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 180
  mkwe chozi lilikuwa lishaanza kunidondoka, ahsante kwa kutusamehe. Lol!
  Jana son wako alinipeleka hukooo, hata jina silikumbuki.
   
 20. Fanta Face

  Fanta Face Senior Member

  #20
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ina faidhina ukiona kimya ujue sina
   
Loading...