Search results

  1. Teja Junior

    Ushauri wa kununua desktop ya video production na graphic design

    Wakuu kwema? Nilikuwa naomba ushauri wa duka au sehemu gani naweza nunua desktop computer yenye uwezo mzuri wakufanyia kazi zangu za productions (video editing na graphic design). Nina bajeti ya shilingi laki tano. Ahsante
  2. Teja Junior

    Napata message SMART CARD NOT PRESENT (HP compaq nw8240)

    Salama wakuu kuna laptop hapa aina ya HP Compaq nw 8240 inatatizo ukiwasha inaleta msg kuwa SMART CARD NOT PRESENT jamaa anasema mwanzo haikuwa hivi ilizima tu haikuwaka akaipeleka kwa fundi nea akainyezea kidogo ikawaka lakini bado ikawa inaleta msg nilio isema hapo na fundi kasema amechemka...
  3. Teja Junior

    Naomba Sapoti na Ushauti Kuhusu Editing

    Mambo vipi wadua?Poleni na kazi napoleni na majukumu ya kila siku nawapenda sana.Bila kupoteza muda napenda kuishukuru jamiiforums na wadau wote maana na amini jamiiforums ni wadau walipo humu maana bila nyinyi huu mtandao sio kitu. Naweza kusema JF imenisaidia mambo mengi jambo moja wapo na...
  4. Teja Junior

    Natafuta Adobe CS4 Master Collection

    Salama wana kama kinanyo sema kichwa cha habari hapo juu naweza kupata Adobe CS4 Master Collection au nikapata nusu nusu pia itakuwa poa sana sana nahitaji adobe illustrator na adobe premiere pro zote ziwe cs4 na kingine mashine gani inafaa kwenye graphic design iwe laptop au desktop...
  5. Teja Junior

    Tushauriane Kuhusu Graphic & Video Production

    Salama humu natumaini wazima wote nimeleta uzi huu tushauriane nakupata nawazo mapya yanayohusu Graphic & Video Pro...mimi ni mmoja ya vijana ambao nasoma kozi inayohusu mambo hayo ndo kwanza nimeanza sina uelewa kihivyo nani mtu napenda kijifunza kila kukicha natumaini kuna watu wengine au...
  6. Teja Junior

    Baada ya umeme kukatika nawasha desktop nakutana na ujumbe huu hapa

    Umeme ulikatika jana baada ya kurudi nikawasha nakutana na ujumbe huu kila nikijaribu naona mzigo umegoma hapa tatizo nini wazee wezangu naombaa msaada wenu kama picha inavyo onesha CPU NI DELL N.B Nimechange batri bado inasema HDD haitambui napia HDD ni Sata ziko mbili nikitoa moja mzigo bado...
  7. Teja Junior

    Hapa HDD imekufa au kiitu gani sijaelewa msaada unahitajka

    Kuna mashine natakwa kuwekwa windows ila hdd haisomi inaleta ujumbe huu hapo kama picha inavyoonesha natakiwa kufanya nini hapo cc @
  8. Teja Junior

    MSAADA WA adobe illustrator cs4

    NIMETAFUTA NAKUTA NYING MIYEYUSHO MWEENYE LINK YA KUELEWA MSAADA TUTANI adobe illustrator cs4
  9. Teja Junior

    Naomba ushauri kuhusu graphic and video production

    Salama wakubwa...? Mimi nilikuwa naomba ushauri wenu na mawazo yenu mimi nimeanza kusoma kozi ya graphic and video pro..chuo kmoja hapa DSM,ndo kwanza nina wiki kama moja hivi sasa nacho omba kutoka kwenu ni ushauri nifate njia zipi ili niwe video production au graphic dizaini mzuri au hata...
  10. Teja Junior

    Google Pixel Phone

    Google Pixel Phone IMETOKA MUDA SASA NILIKUA NAOMBA MAELEZO KUHUSU HII SIMU VIPI MAANA SIJAONA WATU WAKIONGELA HUMU JAPO MARA MOJA TUNAWEZA KUWEPOO HUMU WOTE NAKUELEZEA KWA UZURI WAKUU
  11. Teja Junior

    Namba yangu ya Mtihani FORM IV NIME SAHAU!

    Mimi nime maliza kidato cha nne mwaka 2008 kama mnakumbuka miaka hiyo kulikuwa matokeo yakitoka huwanaweka namba tu sio majina kama siku hizi kama sikosei sasa mimi bwana sikumbuki namba yangu ya mtihani ila shule nakumbuka na matokeo ya form IV mwaka 2008 nimeyaona na shule nimeiona ila tatizo...
  12. Teja Junior

    NATAKA KUHAMA android OS kwendaCyanogenMod MSAADA

    Natumia simu aina Sumsung Tablet 3, NATUMIA ANDROID OS, NATAKA KUHAMIA CYANO..msaada wakuu nafanya vipi msaada tutani
  13. Teja Junior

    Website ya series za Kikorea hii hapa wakuu

    KUNA WATU WALIKUA WANAPATA SHIDA SANA JINI YA KUDOWNLOAD SERIES ZA KOREA NA MOVIE ZA JAPAN.CHINA NA KOREA BASI WAKUU WANGU BAADA YAKUPITA SEHEMU MBALI MBALI NAKUTFAUTA HUKU NA KULE NIKAPATA HII HAPA INAITWA kissasian.com utapata series zote za korea pia unaweza kutafuta series zote unazotaka...
  14. Teja Junior

    MSAADA JINSI YA KUJIUNGA DESKTOP WIRELESS

    NINA MASHINE YA DEKTOP ILA NATAKA KUINGA WIRELESS YANI NATAKA NITUMIE WIRELESS HAPA KUNA WIRELESS ILA NATAKA NIJIUNGE SITUMII LAPTOP NATUMIA DESKTOP SIJUI NAWEZA KUPATA MSAADA JINSI YA KUUNGA WIRELESS KWENYE DESKTOP YANGU WAKUU
  15. Teja Junior

    Msaada: HP ProBook 4520s ina tatizo la button ya herufi D

    Nina Laptop hapa nimeletewa ina tatizo la herfu D na # ukibonyeza hajifanyi kazi ila herfu nyingine zote zinafanya kazi nime jaribu kufungua lakini bado naona bado tatizo lipo msaada wenu naomba hapo tatizo nini hasa
  16. Teja Junior

    Natafuta Mbwa Wakununua

    Mambo zenu wakubwa nilikua naomba wakujulishwa sehemu inayo uzwa mbwa au kama kuna raia humu anafanya biashara hii naomba msaada au nitajiwe sehemu wanauzwa
  17. Teja Junior

    Msaada au mawazo ya kibiashara msaada tutani

    Nilikua naomba msaada wa kimawazo Mimi in kijana nataka kuazisha biashara hapa mtaani kwangu na biashara nayotaka kuanza nayo vifaa vya simu na laptop ila Sana Sana vifaa vya simu Kama unavyo jua simu inavitu vingi na vifaa vya kompyuta vipo vingi kwahiyo naomba Msaada wa kimawazo vitu vya...
  18. Teja Junior

    Msaada wakubwa ishu ya Zantel Bandle

    wakubwa nilikuwa na Modem ya Zantel ambayo haitumii Line kitambo kidogo sasa nimeirudia nimesahau jinsi ya kujiunga vifurushi vyao vya Internet kumbuka Modem yangu haina Line
  19. Teja Junior

    msaada wa Windows 7 loader

    jamani naomba link wakubwa maana kila nikitafuta hakuna ambayo ipo Activate Asante Jr
  20. Teja Junior

    Samahani nimeingia bila salamu Jr

    Ok wanaJf salama hapa natumaini woteeee wazima kwa wale ambao kwa bhati mbaya Afya zao sio nzuri Mungu awabariki mtakuwa wazima soon,lengo la hii post nimeingia Jf bila atasalamu mpaka naona noma coz wezi kuingia kwa watu bila hodi au taarifa me mgeni japo sina kamba Mguuni naomba ushirikiano...
Back
Top Bottom