Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,740
- 1,597
jamani naomba link wakubwa maana kila nikitafuta hakuna ambayo ipo Activate Asante Jr
jamani naomba link wakubwa maana kila nikitafuta hakuna ambayo ipo Activate Asante Jr
jamani naomba link wakubwa maana kila nikitafuta hakuna ambayo ipo Activate Asante Jr
me mgeni mkubwa ila Asante JrUsiwe mvivu kaka uwe unagoogle maana hivyo vitu vimejadilwa sana humu jamii Forums na solution zishatolewa kwa sana so Unapoona kimya ujue wadau wameshachoka kuulizwa kitu kile kile daily.
Unapotafuta kitu na google anza na Jamiiforums.com mfano:- jamiiforums.com windows loader alafu pitia kila topic utapata jibu la utafutacho.
Kwa leo nakusaidia ingia humu https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/398626-activation-ya-windows-7-rofesional.html
poa karibu tena!!me mgeni mkubwa ila Asante Jr