Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,740
- 1,597
NINA MASHINE YA DEKTOP ILA NATAKA KUINGA WIRELESS YANI NATAKA NITUMIE WIRELESS HAPA KUNA WIRELESS ILA NATAKA NIJIUNGE SITUMII LAPTOP NATUMIA DESKTOP SIJUI NAWEZA KUPATA MSAADA JINSI YA KUUNGA WIRELESS KWENYE DESKTOP YANGU WAKUU