Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,740
- 1,597
Kuna mashine natakwa kuwekwa windows ila hdd haisomi inaleta ujumbe huu hapo kama picha inavyoonesha natakiwa kufanya nini hapo cc @
Chomeka vizuri cable au check seting katika BIOS setup ama sivyo Hdd imekufa nunua nyingne maana hapo inamaanisha HDD haijasoma
Nilishapata tatizo kama hilo sio Hdd imekufa bali window yako ndio inashida hiyo machine haina window kabisaKUNA MASHINE NATAKWA KUWEKWA WNDOWS ILA HDD HAISOMI INALETA UJUMBE HUU HAPO KAMA PICHA INAVYO ONESHA NATAKIWA KUFANYA NINI HAPO cc @
hapo najaribu kuweka windows inaleta majbu hayo wewe ulifanya vipi mkuu mashine yakoNilishapata tatizo kama hilo sio Hdd imekufa bali window yako ndio inashida hiyo machine haina window kabisa
Badilisha cd ndipo uweke tena pia jaribu kutoa hiyo cd washa bila cd unipe error inayatokeahapo najaribu kuweka windows inaleta majbu hayo wewe ulifanya vipi mkuu mashine yako
Nisipo weka CD kama hivyo inaleta ujumbe kama huo ...nime badiliish CD kama ulivyo sema lakini bado ina ishia njiani kama picha ya tatu inavyo oneshaBadilisha cd ndipo uweke tena pia jaribu kutoa hiyo cd washa bila cd unipe error inayatokea
Hapo ttzo HDD HaisomiNilishapata tatizo kama hilo sio Hdd imekufa bali window yako ndio inashida hiyo machine haina window kabisa
Kwa hiyo picha hdd haisomi kabisa ebu ingia BIOS load default setup then check HDD km ita detected ikikataa kuonekana HDD imekufa nunua nyingine tuu mkuuNisipo weka CD kama hivyo inaleta ujumbe kama huo ...nime badiliish CD kama ulivyo sema lakini bado ina ishia njiani kama picha ya tatu inavyo onesha
Run HDD test ukiona inakwambia no disk detected ujue ishakufa.....ila kwa mpaka ulipofikia hapo nauhakika hdd ishakufaKUNA MASHINE NATAKWA KUWEKWA WNDOWS ILA HDD HAISOMI INALETA UJUMBE HUU HAPO KAMA PICHA INAVYO ONESHA NATAKIWA KUFANYA NINI HAPO cc @
Miss Moro, huyo kwenye picha ni wwe?Chomeka vizuri cable au check seting katika BIOS setup ama sivyo Hdd imekufa nunua nyingne maana hapo inamaanisha HDD haijasoma
Kwaio naweza nikaweka HDD nyingine inayo fanya kazi si ndioHapo ttzo HDD Haisomi
Siyo unayosema wewe file za cd haziload katika kuchagua either edition or bit sehemu alipofikia ni katika kuchagua partion ya kuinstal window sasa kimbembe HDD haioni
Kwa hiyo picha hdd haisomi kabisa ebu ingia BIOS load default setup then check HDD km ita detected ikikataa kuonekana HDD imekufa nunua nyingine tuu mkuu
Weka HDD nyingine then Fanya installation ila Kama umeitoa Kwenye PC Kama yako unachomeka tu mwendo mdundoKwaio kwenya nikaweka HDD nyingine inayo fanya kazi si ndio