Namba yangu ya Mtihani FORM IV NIME SAHAU!

Namba yangu ya Mtihani FORM IV NIME SAHAU!

Teja Junior

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
1,740
Reaction score
1,597
Mimi nime maliza kidato cha nne mwaka 2008 kama mnakumbuka miaka hiyo kulikuwa matokeo yakitoka huwanaweka namba tu sio majina kama siku hizi kama sikosei sasa mimi bwana sikumbuki namba yangu ya mtihani ila shule nakumbuka na matokeo ya form IV mwaka 2008 nimeyaona na shule nimeiona ila tatizo namba yangu nime sahau na cheti cha form IV shuleni siku chukua nina LEAVING CERTIFICATE TU CHETI SINA ILA MIMI SHIDA YANGU NATAKA KUJUA NAMBA YANGU NIONE MATOKEA YANGU NAWEZA PATA MSAADA WAKUU KWA HILI JAMBO
 
Umemaliza form four mwaka 2008 leo mwaka 2016 ndio unataka kuchungulia matokeo yako!🙁
 
Uhakiki wa degree feki bado unaendelea, tulia mkuu zamu yako itafika tuu
 
1. kumbuka aliekaa mbele yako au nyuma yako kipindi cha mtihani tafuta mawasiliano yao halafu jua namba zao kupata yako.

2. piga simu shule uliotoka au nenda wizarani ukachukue cheti chako.

3.kumbuka division yako na matokeo unaweza pata clue
 
Kweli we ni Teja Junior mpaka huo mwaka matokeo yalikuwa yanatolewa kwa majina tofauti na sasa ambayo ndo wanaweka namba.
 
Back
Top Bottom