Naomba ushauri kuhusu graphic and video production

Teja Junior

JF-Expert Member
Apr 1, 2013
1,739
1,597
Salama wakubwa...?
Mimi nilikuwa naomba ushauri wenu na mawazo yenu mimi nimeanza kusoma kozi ya graphic and video pro..chuo kmoja hapa DSM,ndo kwanza nina wiki kama moja hivi sasa nacho omba kutoka kwenu ni ushauri nifate njia zipi ili niwe video production au graphic dizaini mzuri au hata mknpa link za masomo yanayo husu hayo mambo au njia zipi nifate pia nitashukuru sana ushauri wowote nitapokea kutoka kwenu nina tanguliza shukrani zangu kwenu
 
Ahaaa...Fanya hivi ingia youtube halafu search graphics and video production tutorials..

Pia tafuta makampuni ya video production halafu kaombe ushauri na pia hata directors wa video watafute uwaombe ushauri wa kimawazo watakusaidia..Mimi yangu ni hayo tu
 
Chamsingi ufanye mazoezi ya editing kila siku na hakikisha uwe unabuni vitu vipya na usisahau kutazama turtorials za software unayoitumia ili upate ufahamu zaidi
 
Salama wakubwa...?
Mimi nilikuwa naomba ushauri wenu na mawazo yenu mimi nimeanza kusoma kozi ya graphic and video pro..chuo kmoja hapa DSM,ndo kwanza nina wiki kama moja hivi sasa nacho omba kutoka kwenu ni ushauri nifate njia zipi ili niwe video production au graphic dizaini mzuri au hata mknpa link za masomo yanayo husu hayo mambo au njia zipi nifate pia nitashukuru sana ushauri wowote nitapokea kutoka kwenu nina tanguliza shukrani zangu kwenu
Mkuu naomba ni PM details kidogo kuhusu chuo ulichoenda kusomea hata mimi natafuta chuo kwa ajili ya mambi hayo
 
Back
Top Bottom