Naomba Sapoti na Ushauti Kuhusu Editing

Naomba Sapoti na Ushauti Kuhusu Editing

Teja Junior

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
1,740
Reaction score
1,597
Mambo vipi wadua?Poleni na kazi napoleni na majukumu ya kila siku nawapenda sana.Bila kupoteza muda napenda kuishukuru jamiiforums na wadau wote maana na amini jamiiforums ni wadau walipo humu maana bila nyinyi huu mtandao sio kitu.
Naweza kusema JF imenisaidia mambo mengi jambo moja wapo na hili nilio andikia uzi nishawai kuja humu kuomba ushauri kuhusu mambo ya kusoma yani chuo gani kipo vizuri kufundisha mambo ya Production kwenye mambo ya video na Animation nikapata ushauru wapi pakusoma kutoka kwa mdau anaejulkana sana humu ambae ni Chief Mkawa aliniambia niende chuo kimaoja kinaitwa MediaOne nashukuru nilienda pale nikasoma nanika maliza mambo ya video production jamaa wako vizuri mpaka sasa nimeweza kuedit video kwa kiasi fulani maana mimi ni mpigapicha nikafanikiwa kutengeza video mbalimbali na pia nikaweza tengeneza video hii hapa
na hii hapa nacho omba naomba ushauri wenu kipi cha kuongeza kipi cha kupunguza na vitu gani nifanye ili niweze kua bora zaidi na ziadi kama mnavyo elewa sekta hii ya production video ina mambo mengi na vitu vingi sana ila cha msingi ukufanya juhudi na amini unawezafika mbali naomba wadau utakapo ona uzi huu naomba utie neno usipite tu hivi hivi nashukuru sana Ahsante
 
Back
Top Bottom