Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,740
- 1,597
Ok wanaJf salama hapa natumaini woteeee wazima kwa wale ambao kwa bhati mbaya Afya zao sio nzuri Mungu awabariki mtakuwa wazima soon,lengo la hii post nimeingia Jf bila atasalamu mpaka naona noma coz wezi kuingia kwa watu bila hodi au taarifa me mgeni japo sina kamba Mguuni naomba ushirikiano wenu kwa kila jambo hapa ndo nimefika tuelimishane tuburudishane ata kukwazana ikiwezekana kitu gani kwani call Teja Junior saini yangu mwisho ni Jr so ushishituke ukiona mwisho Jr Asante kwa kusoma Post yangu