Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,739
- 1,597
Umeme ulikatika jana baada ya kurudi nikawasha nakutana na ujumbe huu kila nikijaribu naona mzigo umegoma hapa tatizo nini wazee wezangu naombaa msaada wenu kama picha inavyo onesha CPU NI DELL
N.B
Nimechange batri bado inasema HDD haitambui napia HDD ni Sata ziko mbili nikitoa moja mzigo bado majanga
Kingine hivi HDD unaweza kuifanya kama Extenal HDD mnaweza kunipa ujanja huuu
N.B
Nimechange batri bado inasema HDD haitambui napia HDD ni Sata ziko mbili nikitoa moja mzigo bado majanga
Kingine hivi HDD unaweza kuifanya kama Extenal HDD mnaweza kunipa ujanja huuu