Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,739
- 1,597
Salama humu natumaini wazima wote nimeleta uzi huu tushauriane nakupata nawazo mapya yanayohusu Graphic & Video Pro...mimi ni mmoja ya vijana ambao nasoma kozi inayohusu mambo hayo ndo kwanza nimeanza sina uelewa kihivyo nani mtu napenda kijifunza kila kukicha natumaini kuna watu wengine au wanafunzi kama mimi ambao wanapenda
Kujifunza vitu kama hivi kuna program nyongi za video & graphic basi ingekua vema kama tukapeana maujanja na elimu kiasi ili wote tufikie sehemu fulani tupende kujifunza nasio mbaya kupena link mbali mbali ya kujifunza ili baadae tuwe mavideo production wazuri na magraphic dizaina wazuri pia natanguliza shukrani kwenu Ahsante