video production

  1. kidonto

    Nauza Taa za Video Production

    Habari.....! Nauza Taa za Video Production, 8 tube led light. Dukani utaipata kuanzia 300,000. Mimi nakupatia hii kwa 170,000. 0686279540 Dar es salaam.
  2. F

    Apple MAC PRO ni Game changer Kwa workstation content creators, gamers, Coders

    Mac Pro mpya ni game changer Kwa all creaters, 3D Animations, graphics designers, videos production . Apple wamekuja na chip Yao wenyewe from silicon na upanuzi wa PCIe kwa workflows Kazi za production. Chip ya M2 Ultra mpya - chipu yetu yenye nguvu na uwezo zaidi kuwahi kutokea. 24-core...
  3. K

    Natafuta kazi za Video production na Matangazo kwa kulipa anayeleta dili

    Habari wadau. Tumefungua Ofisi mpya studio tunatafuta kazi za video production, kuandaa matangazo, video shooting, Event Management kwa mwenye dili hilo anicheki tuangalie tunafanyaje. NB: Malipo yapo kwa atakayeleta dili.
  4. Teja Junior

    Ushauri wa kununua desktop ya video production na graphic design

    Wakuu kwema? Nilikuwa naomba ushauri wa duka au sehemu gani naweza nunua desktop computer yenye uwezo mzuri wakufanyia kazi zangu za productions (video editing na graphic design). Nina bajeti ya shilingi laki tano. Ahsante
  5. M

    Mfanyakazi wa graphics na video production anahitaji

    Utangulizi Glaness graphics and design inamilikiwa na Flydream Company Limited. Inahusika na huduma mbalimbali mfano kutengeneza flyers, banners, video editing, video shooting, T-shirt printing n.k Tunatafuta mtu aliye tayari na uzoefu katika maeneo haya: Sifa 1. Uwezo wa kutumia computer...
  6. Professor X

    Natafuta muwekezaji kwenye Biashara ya Photography, Video Production na Graphics

    Habari wana jamii Ni matumaini yangu ni wazima wa Afya Kikiwa kimepita kipindi kirefu toka Nilete maombi kwenu. Niseme tu Asante Kwa waliokuja na kunipa mawazo na kunisahauri ila Nakuja tena mbele yenu kwa unyeyekevu Nikiomba ni mpate muwekezaji ili kuweza kulikamilisha wazo langu Baada ya...
  7. M

    Natafuta chuo cha Production Dar es Salaam

    Hellow, Poleni na majukumu. Nina imani mu wazima. Wakuu naomba mnifahamishe kwa hapa Dar ni chuo gani kizuri, ambacho mtu anaweza akasoma mambo ya production na akaiva vizuri? Hapa namaanisha mambo ya Media. Yaani kuna mtu alisoma mass communication lakini aka specialise kwenye uandishi wa...
  8. Idrisajr

    Ninahitaji watu wenye idea na video production watakaokuwa tayari kujitolea kufanya project free ila kwa malengo

    Nadhani kwa wale wenye idea na mambo ya movie making wanaelewa ila lengo la kuanzisha hii thread ni kukutanisha watu wenye mawazo tofauti ya idea moja. Na sio mawazo tu hata nyenzo(vitendea kazi) naamini tupo vijana wengi ambao tuna idea ila jinsi ya kuzifikisha kuna vitu vinatukwamisha kama...
  9. kipusy

    Biashara ya video production katika Harusi, Kitchen party, Send-off nk

    Naomba kuuliza wanaofanya/waliowahi kufanya hii biashara Camera gani nzuri kufanyia video na photo shooting? Camera ziwe ngapi katika usiku wa shughuli kwa ufanisi zaidi? Wanaepukaje changamoto ya kuishiwa battery charge? Kwa tanzania hususan Mbeya, huwa wanalipwa kiasi gani kwa hii shughuli...
  10. M

    Vifaa vya kipekee kwa ajili ya Video Production vinauzwa

    Vifaa hivi vinauzwa kwa ajili ya matumizi ya Go Pro camera vifaa vya kufungia sehem mbali mbali kwenye maji, gari, pikipiki na hata baiskel kwa angle unayotaka na ukapata shoot yako nzuri na kwa position unayoitaka. Jipatie vifaa hivi kwa 100,000/= & 150,000/= vinakua box. CALL WHATSAPP &...
  11. Director Chuma

    Sasa nafundisha TV & video production katika chuo cha bagamoyo

    Kwa wanaotaka kujifunza zaidi ya online kupitia YouTube channel yangu ya Director chuma mnaweza kujiunga na chuo ninachofundisha bagamoyo kwa sasa karibuni sana
Back
Top Bottom