Msaada wakubwa ishu ya Zantel Bandle

Msaada wakubwa ishu ya Zantel Bandle

Teja Junior

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
1,740
Reaction score
1,597
wakubwa nilikuwa na Modem ya Zantel ambayo haitumii Line kitambo kidogo sasa nimeirudia nimesahau jinsi ya kujiunga vifurushi vyao vya Internet kumbuka Modem yangu haina Line
 
unaikumbuka namba ya modem?
 
Bundle ya bronze ni tshs. 4000
Bundle ya mono ni tshs. 20,000

Jinsi ya kujiunga:

Nunua vocha kulingana na mahitaji yako (bronze or mono)
Fungua simu yako upande wa sms, andika namba yako ya modem acha nafasi weka namba za siri za vocha yako (anza na vocha moja kwanza) halafu tuma kwenda 0776300300, endelea kwa vocha ya pili nk. Kila ukimaliza kuweka vocha utaletewa taarifa ya ku-recharge.

Ukishaweka kiasi kulingana na bundle unayohitaji, andika kwenye sms yako namba ya modem plan mono (mfano 0775200180 plan mono) halafu tuma kwenda 0776300300. Na unaweza kupata bundle ya bronzekwa mfumo huo huo.

NB:
Bundle zipo nyingi ila nilizoandika ndizo mara nyingi natumia.
 
Hii na kwa mtu anayetumia mitandao mengine isiyokuwa Zantel. Kama unatumia line ya Zantel fanya ifuatavyo:

1. Piga *149*07#
2. Chagua Ezynet
3. Chagua Bundle unayohitaji kutokana na matumizi yako..
4. Weka number ya modem and It's done!!!

NB: Kuongeza voucher unaweza tafuata mimina dealer akurushie salio then unajiunga. Au unaweza kutumia njia kama ilivyoonyeshwa na mkuu hapo kwa kutumia mtandao mwengine usiokuwa Zantel..
 
unachanganyachanganya...hiyo mtandao mwingine sikuelewi
 
[/COLOR][/B]
unachanganyachanganya...hiyo mtandao mwingine sikuelewi

Pole mkuu kama nimekuchanganya. Nilichomaanisha ni kuwa kama una modem ya zantel halafu unatumia mtandao wa Vodacom utajuinga vipi na bundle za Zantel?

Kama ni hivyo basi unafuata utaratibu alioueleza huyu mkuu hapa chini:

Bundle ya bronze ni tshs. 4000
Bundle ya mono ni tshs. 20,000

Jinsi ya kujiunga:

Nunua vocha kulingana na mahitaji yako (bronze or mono)
Fungua simu yako upande wa sms, andika namba yako ya modem acha nafasi weka namba za siri za vocha yako (anza na vocha moja kwanza) halafu tuma kwenda 0776300300, endelea kwa vocha ya pili nk. Kila ukimaliza kuweka vocha utaletewa taarifa ya ku-recharge.

Ukishaweka kiasi kulingana na bundle unayohitaji, andika kwenye sms yako namba ya modem plan mono (mfano 0775200180 plan mono) halafu tuma kwenda 0776300300. Na unaweza kupata bundle ya bronzekwa mfumo huo huo.

NB:
Bundle zipo nyingi ila nilizoandika ndizo mara nyingi natumia.

Lakini ukiwa unataka kujiunga na bundle za Zantel na unatumia line ya Zantel kwa mawasiliano unafuata utaratibu huu:

1. Piga *149*07#
2. Chagua Ezynet
3. Chagua Bundle unayohitaji kutokana na matumizi yako..
4. Weka number ya modem and It's done!!!

NB: Kuongeza voucher unaweza tafuata mimina dealer akurushie salio then unajiunga. Au unaweza kutumia njia kama ilivyoonyeshwa na mkuu hapo kwa kutumia mtandao mwengine usiokuwa Zantel..

Mkuu nadhani hapa itakuwa umenielewa...
 
Unaweza kutumia njia aliyokuelekeza Platozoom moja kwa moja kwenye ile connection prompt inayotokea kwenye screen ya computer yako unapochomeka modem LAKINI unatakiwa uwe na angalau shs 500 kwenye modem yako kwani watakuchaji kutuma hizo sms.

Utaona icon imeandikwa text, click hapo utaona sehemu ya ku-compose sms na ufuate maelekezo yaliyotolewa na Platozoom hapo juu.
 
Back
Top Bottom