Search results

  1. mkaamweusi

    Plot4Sale Nauza kiwanja Changu Magomeni Mtwara

    Salama wakuu? Nauza kiwanja Mtwara Mjini bei 6Milioni. -Kipo magomeni, 1 km kutoka stendi kuu ya mabasi Mtwara. -kuna banda watu wanakaa -kipo jirani na chuo cha afya COTC -Kimepimwa sqm 317 na hati ya wizara ninayo. -Tambalale,barabara,umeme na maji vipo hapo hapo. Mawasiliano 0769476225
  2. mkaamweusi

    Ntashindwa kulipata dole gumba la mdhamini huyu,nawezaje kumuondoa na fomu nimepakua?

    Nimemuandika mdhamini yupo mbali na mm kidogo,takribani kilometa 1000 Sehemu ya kuweka dole gumba lake naona itakuwa gharama kumfuata. Nawezaje kubadili mdhamini..?
  3. mkaamweusi

    Bei ya Printer Canon ir 2425i

    Hellow Guys Nilikuwa nafanya utafiti kuhusu bei ya Photocopy machine aina ya canon ir 2425i Nimebaini maduka ya wahindi mfano maisha,omni na masumini bei zao zipo juu kidogo ukilinganisha na Kariakoo mfano Hiyo Mashine kwa wahindi hupati chini ya 3.5mil kwa upande wa kariakooo unapata hadi...
  4. mkaamweusi

    Tiba hii ya kikatili imenishtua, naomba mnisaidie katika hili

    Msaada wa kimawazo tu(sio pesa) Ikiwemo kuwachkulia hatua za kisheria Maana wamedhuru mwili,ni uhalifu.
  5. mkaamweusi

    Yuko wapi Peter Lijualikali aliyekuwa Mbunge wa Kilombero?

    Yuko wapi mbunge kijana, Machachari, Mpambanaji, Mwanasheri kitaaluma. Ambaye alikuwa mbunge wa Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA. Aliwahi kusema ni heri awe bodaboda kuliko kuendelea kutomuunga Mkono Hayati Magufuli.
  6. mkaamweusi

    Plot4Sale Nauza eneo la ekari mbili kasoro robo Mtwara

    Habari zenu wadau? Nauza eneo la ukubwa wa square meter 7081.9 Lipo km 16 kutoka Mtwara Mjini. Lipo umbali wa meter 860 kutoka bara bara kuu ya MTWARA-NEWALA. Ni katika kijiji cha MDUWI. Kuna nguzo za umeme zimeshushwa, umeme utakuwepo hivi karibuni, ila shughuli zote za kijamii zinaendelea...
  7. mkaamweusi

    Hivi hii ndio hand sanitizer jamani?

    Wadau nisaidieni kidogo, nimezunguka maduka mengi sana kuna kaduka flani kamejificha, nimefanikiwa kuipata hii bidhaa lakini sina hakika kama ndo hand sanitizer. Naomba wataalamu wanisaidie kwenye hili! Ahsante Sent using Jamii Forums mobile app Baadhi ya Michango ============
  8. mkaamweusi

    Kweli za Mwanzoni mwa Mahusiano ya Mapenzi

    Kumekuwepo na Maswali Mengi yanawazunguka vijana, ni nani anatakiwa kuwajibika nini ? Mwanzo wa mahusiano, Check hizi facts[emoji116] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mkaamweusi

    Kukosa uaminifu!

    Habari wanajukwaa, Vp imewahi kukutokea ukamuamini Mtu, baadae akakuangusha kwa kukupa sababu za kitoto na kilaghai laghai. Mfano;umemwamini Mke, akukuaminisha kwamba yeye ni Muaminifu, siku ya siku unakuja kupata hbari za yeye kuku cheat Pindi , unapokuwa haupo nae. Au umemwmini Mzazi...
  10. mkaamweusi

    Dereva wa Kujitolea

    Habari zenu wakuu? Naomba ushauri. Nina kijana wangu.Amehitimu mafunzo ya udereva ngazi ya awali katika chuo cha VETA na kupata leseni hai daraja D na E. Ili aweze kupata uzoefu,afanye nini? Mimi nilipendekeza atafute nafasi za kujitolea kabla ujuzi haujaanza kufubaa. Shida inakuja kuna...
  11. mkaamweusi

    Matumizi ya neno Boss.

    Enyi wafanyabiashara au wajasiriamali,msipende kukatumia haka kaneno 'boss' mfano Karibu boss,umetaka ipi boss?, Ni neno ambalo linatumika in various environment. But let me be specific kwa case ya Mfanyabiashara na mteja. Hili neno nimelitumia sana na watu wengi wamelitumia sana...
  12. mkaamweusi

    Wasafi Festival Sound system.

    Wasafi Muziki wenu mzuri,una midundo mingi nimebahatika kuhudhuria Nangwanda Sijaona,sound system iko very Poor! Jipangeni next time.
  13. mkaamweusi

    Kuitwa kazini Taasisi ya Ocean Road.

    Habari ya kazi wadau,kuna mdogo angu hapa katumiwa SMS na mtu aliyejitambulisha kuwa ni Afsa muajiri,wa Taasisi Tajwa hapo juu.SMS yenyewe Ipo hivi; "Habari za leo, umepata kazi ocean road cancer institute baad ya kufaulu usaili uliofanyika tarehe 24/8/2019 sekretarieti ya ajira, ocean road...
  14. mkaamweusi

    Msaada;Simu ya Itel A31 kujizima na kujiwasha(Autoreboot)

    Nina siku mbili nimenunua simu mpya aina ya ite l a31 smartphone lakini tatizo lake imekuwa inajizima n kujiwasha yenyewe randomly,inafika muda hata mawasiliano yanakatishwa katikati Nimejaribu kuirestore upya, Nimejaribu kuturn off option ya restoration Yote hayo yameshindikana . Je nifanye...
  15. mkaamweusi

    Ni kweli afya na akili njema ndio vitu tunavyopigania katika maisha?

    Nimepita katika ukurasa wa Facebook nikakutana na andiko hili fupi kutoka kwa Mdau mmoja wa Facebook, "Unapocheza soka, kuna vitu 2 unaomba Mungu visitokee kabla ya dk 90. Vitu hivyo ni kupata kadi nyekundu au kuumia na kushindwa kuendelea na mchezo. Kwa sababu kwenye soka ilimradi bado...
  16. mkaamweusi

    Sikuwahi kuwaza kama wanawake wanawakataa wanaume

    Katika makuzi yangu,mpaka namaliza elimu yangu ya sekondari ya kawaida,nilikuwa na akili moja,kwamba mwanamke yoyote unayemtaka kimahusiano au kingono,ukimuelezea hisia zako,atakuelewa na kukukubalia, Basi kipindi hicho nilijichunga sana mdomo wangu nisijaribu kumweleza yeyote maana sikuwa na...
  17. mkaamweusi

    Naomba unifafanulie kinyaturu hiki

    Rafkiangu(yeye hana access na jamii forum) mmoja alikuwa katika majibizano makali na mpenzi wake,mwanamke ni mnyaturu, yeye ni mhehe ss katika moja ya Meseji,akatumiwa message imeambatana na maneno haya "..ruwe ojomroghwa usoyo ninavoona" Hiyo sentensi ina maana gani?
  18. mkaamweusi

    Mapenzi ni kuvunga sometimes

    Hivi mi najiuliza,mfano labda hapo atokee mama wa kijana paap,binti ataendelea kuning'iniza hiyo miguu ama? Bila shaka ataishusha swali la msingi linakuja inamaana haya anafanya ni maonezi kwa Huyo kijana kiasi kwamba asijue mama yake kuwa kijana wao huwa anavunga?
Back
Top Bottom