Msaada;Simu ya Itel A31 kujizima na kujiwasha(Autoreboot)

mkaamweusi

JF-Expert Member
Feb 19, 2013
614
802
Nina siku mbili nimenunua simu mpya aina ya ite l a31 smartphone lakini tatizo lake imekuwa inajizima n kujiwasha yenyewe randomly,inafika muda hata mawasiliano yanakatishwa katikati

Nimejaribu kuirestore upya,
Nimejaribu kuturn off option ya restoration
Yote hayo yameshindikana
.
Je nifanye nini ili itulie simu yangu? Ilihali naipenda sana hii simu sitaki kuipoteza,Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrejesho;Nashkuru Mungu,simu yangu imetengenezwa bure na watu wa Calcare kule Maeneo msimbazi,kilichonisaidia ni kutoifungua wala kuipeleka kwa fundi +warrant ya siku 365.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom