Hivi hii ndio hand sanitizer jamani?

mkaamweusi

JF-Expert Member
Feb 19, 2013
498
1,000
Wadau nisaidieni kidogo, nimezunguka maduka mengi sana kuna kaduka flani kamejificha, nimefanikiwa kuipata hii bidhaa lakini sina hakika kama ndo hand sanitizer.

Naomba wataalamu wanisaidie kwenye hili!

Ahsante

IMG_20200317_185046_7.jpeg
IMG_20200317_185059_5.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app


Baadhi ya Michango

View attachment 1391271 mkaamweusi tafuta hiyo mwaya...hiyo uliyopost ni sabuni tena zinauzwaga elfu 3. Si ajabu hata wamekupiga

============

 

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
42,087
2,000
Ndio iyo iyo mkuu. Ila sabuni ya kawaida inafanya kazi fresh tu. Nenda shop nunua sabuni safi ya kuogea. Nawa mikono.
Wadau nisaidieni kidogo, nimezunguka maduka mengi sana kuna kaduka flani kamejificha, nimefanikiwa kuipata hii bidhaa lakini sina hakika kama ndo hand sanitizer"

Naomba wataalamu wanisaidie kwenye hili! Ahsante

View attachment 1391261 View attachment 1391262

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio sio sanitizer. Hio ni sabuni ya maji.
 

clinician

JF-Expert Member
Mar 5, 2014
214
250
Hiyo sio sanitiser,ni sabuni ya maji,sanitiser huwa ni maji maji ambayo ukipaka kwenye mikono haina haja ya maji ili kusafisha,yenyewe yatosha na hukauka mkononi ndani ya sekunde chache...kwa kuzuia corona tafuta sanitizer yenye alcohol angalau asilimia sitini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom