Kweli za Mwanzoni mwa Mahusiano ya Mapenzi

Kweli za Mwanzoni mwa Mahusiano ya Mapenzi

mkaamweusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
618
Reaction score
828
Kumekuwepo na Maswali Mengi yanawazunguka vijana, ni nani anatakiwa kuwajibika nini ? Mwanzo wa mahusiano,
Check hizi facts[emoji116]
FB_IMG_1584271830531.jpeg
FB_IMG_1584271827019.jpeg
FB_IMG_1584271821566.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka hivi sasa korona haijapata tiba dunia bado inahangaika tiba na chanjo!, Africa bado kizungumkuti ila hali ya joto imeonekana kuwa ponapona ya waafrika ikiambatanishwa na Kinga!!
 
Wanawake hawaeleweki wamesimama wapi mkuu, Hata huyo alieandika hayo kama ni mdada utakuta anampelekesha man wake (Hayafuati hayo aliyosema)
Cha msingi ukishaamua kua na Relationship basi jijenge kiakili kua yote hayo unatakiwa kuyafanya. Ukizingatia suala la mahusiano mwanamke yupo upande wa kutendewa, Sio mtendaji. Wameumbwa kupokea vitu
 
Back
Top Bottom