Yuko wapi Peter Lijualikali aliyekuwa Mbunge wa Kilombero?

Yuko wapi Peter Lijualikali aliyekuwa Mbunge wa Kilombero?

mkaamweusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
618
Reaction score
828
Yuko wapi mbunge kijana, Machachari, Mpambanaji, Mwanasheri kitaaluma.

Ambaye alikuwa mbunge wa Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA.

Aliwahi kusema ni heri awe bodaboda kuliko kuendelea kutomuunga Mkono Hayati Magufuli.

Screenshot_20210506-115107.jpg
View attachment 1776096
 
Chizi huyu yupo hapa ifakara anazungukazunguka tu na kanzu .magu alimuahidi u dc awamu ya pili sasa kafa nae hana chake kaishis kumuoa binti wa ndungae tu halafu nani alikwambua huyu ji mwanasheria ? Labda bush lawyer
Atakuwa alilia kilio cha mbwa koko kama Afande sele baada ya matumaini ya teuzi kuota mbawa
 
Chizi huyu yupo hapa ifakara anazungukazunguka tu na kanzu .magu alimuahidi u dc awamu ya pili sasa kafa nae hana chake kaishis kumuoa binti wa ndungae tu halafu nani alikwambua huyu ji mwanasheria ? Labda bush lawyer
Hivi ile nyumba yake aliiuza?
 
Back
Top Bottom