Sikuwahi kuwaza kama wanawake wanawakataa wanaume

mkaamweusi

JF-Expert Member
Feb 19, 2013
614
802
Katika makuzi yangu,mpaka namaliza elimu yangu ya sekondari ya kawaida,nilikuwa na akili moja,kwamba mwanamke yoyote unayemtaka kimahusiano au kingono,ukimuelezea hisia zako,atakuelewa na kukukubalia,

Basi kipindi hicho nilijichunga sana mdomo wangu nisijaribu kumweleza yeyote maana sikuwa na hela za kumtunza,nilisubiri nimalize shule nikipata shughuli ya kuniingizia kipato,ntamfata yeyote ninayemtaka,maana niliamini ili mapenzi yanoge ni vizuri niwe na kipato(huo ndio ukweli ambao mpaka Leo umebaki kuwa ukweli).

Niliamini hakuna changamoto yoyote kwene kumpata wako mwandani,lahaula!!! siku moja, saikolojia yangu ilikuja kufadhaika siku nimejaribu kumuapproach msichana ambaye kwanza nilimzidi umri,elimu na kipato so mentality yangu ilikuwa mwanamke atanitii tu,na ile kunikataa inawezekana anatania tania tu,

Mama yangu, yule mwanamke kwanza alinijibu kwa dharau, hivi hujawaona wengine huko chuoni kwenu,??nikamjibu naweza kuwaona lakini moyo wangu umekuchagua we we,

Baadae niliendelea kuwasiliana nae,akanisisitiza kwa ukali kidogo,kama vile anakaambia katoto ka darasa la pili ,maneno ambayo mpaka Leo yaniumiza kichwa,NIMEKWAMBIA MIMI NINA MTU WANGU MBONA HUNIELEWI WEWE,HICHO KICHWA CHAKO NI KIKUBWA BURE TU! ,Na Hakuwa anatania na wala hakunitafuta tena na akaendelea na maisha yake japo ni mdogowangu kiumri,na ukiangalia kwao hawana uwezo kiviiile pengine ningesema ndicho anacho jivunia,

Basi mpaka Leo imebaki hivo hivo kila wanawake kumi ntakao waapproach tz nzima, Tisa wananijibu Mimi NINA MTU WANGU TAYARI,hao mmoja(mmoja anawakilisha wengi ndo maana nimetumia 'hao') ata anaweza askujibu akawa anakuonesha midharau tu mfano Simu hapokei SMS hajibu na wala hakutafuti,

Sijawahi enjoy ile picha iliokuwemo akilini mwangu before kwamba mwanamke is a very tender things, polite,obidient,descent na vinginevo,

Japokuwa najiweza kwa kipato ila wanawake ninaowataka wamebaki kuwa rude sana kwangu,mpaka Leo sielewi hao wanaowapata wanawapataje?
 
Umemzidi elimu,umemzidi kipato alafu bado ww ni Mwanafunzi wa chuo mbona haueleweki
Ndio nilipokuwa Chuo nilikuwa na miradi yangu inaendelea kuniingizia kipato

Yeye bado alikuwa o level kipindi hicho,mm nipo Chuo mwaka wa tano,
 
Katika makuzi yangu,mpaka namaliza elimu yangu ya sekondari ya kawaida,nilikuwa na akili moja,kwamba mwanamke yoyote unayemtaka kimahusiano au kingono,ukimuelezea hisia zako,atakuelewa na kukukubalia,

Basi kipindi nilijichunga sana mdomo wangu nisijaribu kumweleza yeyote maana sikuwa na hela za kumtunza,nilisubiri nimalize shule nikipata shughuli ya kuniingizia kipato,ntamfata yeyote ninayemtaka,maana niliamini ili mapenzi yanoge no vizuri niwe na kipato(huo ndio ukweli ambao mpaka Leo umebaki kuwa ukweli).

Niliamini hakuna changamoto yoyote kwene kumpata wako mwandani,lahaula!!! saikolojia yangu ilikuja kufadhaika siku moja nimejaribu kumuapproach msichana ambaye kwanza nilimzidi umri,elimu na kipato so mentality yangu ilikuwa mwanamke atanitii tu,na ile kunikataa inawezekana anatania tania tu,

Mama yangu, yule mwanamke kwanza alinijibu kwa dharau, hivi hujawaona wengine huko chuoni kwenu,??nikamjibu naweza kuwaona lakini moyo wangu umekuchagua we we,

Baadae linaendelea kuwasiliana nae,akanisisitiza kwa ukali kidogo,kama vile anakaambia katoto ka darasa la pili ,maneno ambayo mpaka Leo yaniumiza kichwa,NIMEKWAMBIA MIMI NINA MTU WANGU MBONA HUNIELEWI WEWE,HICHO KICHWA CHAKO NI KIKUBWA BURE TU! ,Na Hakuwa anatania na wala hakunitafuta tena na akaendelea na maisha yake japo ni mdogowangu kiumri,na ukiangalia kwao hawana uwezo kiviiile pengine ningesema ndicho anacho jivunia,

Basi mpaka Leo imebaki hivo hivo kila wanawake kumi ntakao waapproach tz nzima, Tisa wananijibu Mimi NINA MTU WANGU TAYARI,hao mmoja ata anaweza askujibu akawa anakuonesha midharau tu mfano Simu hapokei SMS hajibu na wala hakutafuti,

Sijawahi enjoy ile picha iliokuwemo akilini mwangu before kwamba mwanamke is a very tender things, polite,obidient,descent na vinginevo,

Japokuwa najiweza kwa kipato ila wanawake ninaowataka wamebaki kuwa rude sana kwangu,mpaka Leo sielewi hao wanaowapata wanawapaje?
Chuo chenyewe umesomea wapi mbona hata kufanya proof reading hujui
 
Duh we jamaa vp..unatokea mkoa gani..adi leo unatongoza?wenzio tunashika mkono dem ata kama ni fist date na tunakula mizigo iliyoshindikana mtaani kirahisi..kila cku narudia madem wa ckuiz wanatongozewa kitandani baada ya kuliwa..ukimla vzuri wako ukimla vbaya anaangalia kama una hela utaeza kuendelea nae kama hauna apokei cm imetoka..nichek nikulengeshe mahali..
 
Jaribu kubadilisha mbinu unazotumia kuwaapproach inawezekana unawaita kwa dharau au unaongea kwa kiburi ukiamini una kipato. Alafu ondoa hiyo dhana kuwa mwanamke ukimwambia tu hisia zako atakuelewa hapo hapo lazima uzungushwe kidogo, kwahyo jaribu kuwa mvumilivu na mnyeyekevu sio ukiambiwa tu nina mtu wangu basi na wewe ndio unapotea mzima
 
Katika makuzi yangu,mpaka namaliza elimu yangu ya sekondari ya kawaida,nilikuwa na akili moja,kwamba mwanamke yoyote unayemtaka kimahusiano au kingono,ukimuelezea hisia zako,atakuelewa na kukukubalia,

Basi kipindi nilijichunga sana mdomo wangu nisijaribu kumweleza yeyote maana sikuwa na hela za kumtunza,nilisubiri nimalize shule nikipata shughuli ya kuniingizia kipato,ntamfata yeyote ninayemtaka,maana niliamini ili mapenzi yanoge no vizuri niwe na kipato(huo ndio ukweli ambao mpaka Leo umebaki kuwa ukweli).

Niliamini hakuna changamoto yoyote kwene kumpata wako mwandani,lahaula!!! saikolojia yangu ilikuja kufadhaika siku moja nimejaribu kumuapproach msichana ambaye kwanza nilimzidi umri,elimu na kipato so mentality yangu ilikuwa mwanamke atanitii tu,na ile kunikataa inawezekana anatania tania tu,

Mama yangu, yule mwanamke kwanza alinijibu kwa dharau, hivi hujawaona wengine huko chuoni kwenu,??nikamjibu naweza kuwaona lakini moyo wangu umekuchagua we we,

Baadae linaendelea kuwasiliana nae,akanisisitiza kwa ukali kidogo,kama vile anakaambia katoto ka darasa la pili ,maneno ambayo mpaka Leo yaniumiza kichwa,NIMEKWAMBIA MIMI NINA MTU WANGU MBONA HUNIELEWI WEWE,HICHO KICHWA CHAKO NI KIKUBWA BURE TU! ,Na Hakuwa anatania na wala hakunitafuta tena na akaendelea na maisha yake japo ni mdogowangu kiumri,na ukiangalia kwao hawana uwezo kiviiile pengine ningesema ndicho anacho jivunia,

Basi mpaka Leo imebaki hivo hivo kila wanawake kumi ntakao waapproach tz nzima, Tisa wananijibu Mimi NINA MTU WANGU TAYARI,hao mmoja ata anaweza askujibu akawa anakuonesha midharau tu mfano Simu hapokei SMS hajibu na wala hakutafuti,

Sijawahi enjoy ile picha iliokuwemo akilini mwangu before kwamba mwanamke is a very tender things, polite,obidient,descent na vinginevo,

Japokuwa najiweza kwa kipato ila wanawake ninaowataka wamebaki kuwa rude sana kwangu,mpaka Leo sielewi hao wanaowapata wanawapataje?
Domo zege anahitaji maujanja.msimcheke si yeye!!!
 
mtu ashakuambia ana mtu wake, ww unamlazimisha wa nini!
Waliniambia wenzangu,unatakiwa kukomaa akikujibu hivo we komaaa,sasa Sijui walikuwa wananipotosha? Wengine walisema eti akijibu hivo mi nimuulize,"Kwani mi nyani?,
By the way inawezekana Uzi huu ukawasaidia wengi wanaoendelea kupotoshwa juu ya sanaa hii adhimu ya kutongoza,

Mwisho wa siku kisaikolojia MTU anakuja kuangukia kwa penzi la mwanamke ambaye ni desperate,either ni age kubwa,aliachika kaacha watoto kijijini

Mtu anadanganyika kuoa MTU aliyemkubalia kirahisi kisha baada ya muda tatizo linakuja kuwa kubwa zaidi kwene ndoa baada ya kuugundua ukweli,

So no muhimu elimu hii ikabalance kwa vijana especially kwa vijana wengi,wanaifanya kimazoea tuu,mwisho wa siku wanakuwa in a paradox situation
 
Mkuu Angalia Approach unayoitumia, Usiende na mentality ya umemzidi nini hivyo atakukubalia, Lazima uangalie kwanza presentation yake ili ujue unatumia mbinu gani ,Siku hizi hakuna zile za kutongozana huku mnang'ata vidole
 
Hakuna jibu linanikera kama "nina mtu wangu" hv kuna anayejua thaman ya mtu? Si bora useme mkoa wangu wa ......
 
Back
Top Bottom