Plot4Sale Nauza kiwanja Changu Magomeni Mtwara

mkaamweusi

JF-Expert Member
Feb 19, 2013
614
804
Salama wakuu?

Nauza kiwanja Mtwara Mjini bei 6Milioni.
-Kipo magomeni, 1 km kutoka stendi kuu ya mabasi Mtwara.
-kuna banda watu wanakaa
-kipo jirani na chuo cha afya COTC
-Kimepimwa sqm 317 na hati ya wizara ninayo.
-Tambalale,barabara,umeme na maji vipo hapo hapo.

Mawasiliano 0769476225

8.jpg
7.jpg
6.jpg
 
Hii kauli inamaanisha nini ??? Kuna ndugu yangu nimempigia jana nikamwambia nauza eneo langu akanijibu kimfaacho mtu. Sikuelewa alimaanisha ninj
Fedha inakanuni moja tu inayosema "nitunze leo nitakutunza kesho" hii nadhani utaielewa ni maana nyingine ya hiyo misemo huko juu
 
Kwani bomba la bure si ni nyuma ya lodge ya jasmini?
Ndio huu mtaa umeenda mpaka kwenye hilo eneo la kiwanja chetu.Ukisimama hapo aliposimama huyo mtoto ukaangalia mbele,unaiona shule ya msingi magomeni.
Yaani bara bara hiyo yenye nguzo inaelekea kwenye lile li uwanja la shule ya magomeni.
 
Hii kauli inamaanisha nini ??? Kuna ndugu yangu nimempigia jana nikamwambia nauza eneo langu akanijibu kimfaacho mtu. Sikuelewa alimaanisha j
Jamaa anamaanisha ukiwa na chako,siku ukikwama utauza ili uweke mambo sawa,ni kama kufuga ng'ombe kule kijijini,mzee akaona mwanawe anaumwa atauza chake ili amudu gharama za kumtibu
 
Wadau bado kipo,kuna kingine cha sqm 1003 hati wizara pia nakiuza,karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom