Mapenzi ni kuvunga sometimes

Mapenzi ni kuvunga sometimes

mkaamweusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
618
Reaction score
828
Hivi mi najiuliza,mfano labda hapo atokee mama wa kijana paap,binti ataendelea kuning'iniza hiyo miguu ama?

Bila shaka ataishusha swali la msingi linakuja inamaana haya anafanya ni maonezi kwa Huyo kijana kiasi kwamba asijue mama yake kuwa kijana wao huwa anavunga?
FB_IMG_1510749707238.jpg
 
Hahaha hahaha hahaha natamani na mm nimpate kama huyo
 
Back
Top Bottom