Search results

  1. VOICE OF MTWARA

    Kumbe Azam amecheza leo?

    Sikujua kuwa Timu ndogo ya Azam (wakamiaji) wamecheza leo na mashujaa na kutoka nao suluhu! Kwa hesabu za haraka kama yanga atashinda mechi ijayo atakuwa bingwa rasmi
  2. VOICE OF MTWARA

    Yanga imuuze Feitoto

    1. Kwa hali ilipofikia hakuna namna mchezaji kuendelea kuichezea yanga 2. Hawezi chezea timu yoyote mpaka mkataba wake uishe 3. Waliomrubuni hawawezi kujitokeza hadharani 4. Kijana bado mdogo na taifa linamuhitaji Nawashauri viongozi wangu wa yanga tangazeni kumuuza mara moja (muwekeni...
  3. VOICE OF MTWARA

    Profesa Mohamed Abdulrahman Babu

    Msomi, mwanamapinduzi na mwanaharakari. Pichani akiwa na Che Guevara na Malcom X. Ndege wafananao huruka pamoja.
  4. VOICE OF MTWARA

    Hassan Rehan Bichuka vs Edie Shegy yupi ni best vocalist?

    Salam. Hawa jamaa ni Bora sana kwa sauti zao maridadi. Hebu nisaidieni nani Yuko juu zaidi kati yao
  5. VOICE OF MTWARA

    Idris Abdul Wakil ni nani hasa?

    Nafahamu aliwahi kuwa rais huko Zanzibar lakini sina taarifa nyingi za kumuhusu 1. Historia yake ya kuzaliwa, makuzi na elimu yake 2. Historia yake kwenye siasa 3. Kwanini alitawala kwa miaka mitano tu tangu 1985 hadi 1990 4. Kwanini hakua maarufu ilihali ameishi hadi miaka ya 2000 alipofariki
  6. VOICE OF MTWARA

    Serikali inafahamu kuwa wananchi wengi mkoani kigoma hawajapatiwa namba za Nida?

    Imebaki siku moja watekeleze hiyo adhma yao ya kufungia laini zisizosajiliwa kwa alama za vidole na namba za Nida, lakin maelfu ya wananchi wsliojiandikishia mkoani humo hawajapewa namba zao bila kuambiwa sababu za msingi. Serikali mnaitambua kero hii?
  7. VOICE OF MTWARA

    Zanzibar walitumia fedha ipi kabla ya Muungano mwaka 1964?

    Leo nimetafakari sana kuhusu suala hilo. Wajuvi wa historia mnijuze hasa sarafu iliyotumiwa na ndugu zetu wazanzibar kabla ya Muungano na Tanganyika
  8. VOICE OF MTWARA

    Naombeni ufafanuzi juu ya hatma ya uchaguzi jimbo la Ludewa

    Filikunjombe amefariki, Mungu amrehemu. nilisikia kua marehemu deo alipita bila kupingwa mara baada ya mgombea wa CHADEMA kuenguliwa, na bila shaka hakukuwa na mgombea mwingine toka upinzani ndio sababu akapita bila kupingwa. swali, je mchakato wa kuziba nafasi yake utaruhusu vyama vyote au...
  9. VOICE OF MTWARA

    Wema wa Chuma na Susi, watumishi watiifu wa Dr Livingstone

    Nilikuwa napitiapitia taarifa za kihisoria hatimaye nikakutana na ‘stori’ ya Dr David Livingstone na watumishi wake James Chuma, Abdullah Susi na Jacob Wainwrigt, sio mbaya na wewe ukaifahamu japo kwa ufupi. 1. Kifo cha Dr livingstone Siku ya tarehe 1.5.1873 anafariki mpelelezi na mmisionari...
  10. VOICE OF MTWARA

    Nisaidieni nyimbo hizi

    mtoto yatima - banza stone masimango - waziri sonyo
  11. VOICE OF MTWARA

    TFF imfungie mwamuzi wa mechi ya Mgambo vs Azam

    nimesikitishwa sana na kitendo cha mwamuzi wa mechi hiyo kwa kitendo chake cha kumaliza mpira wakati mshambuliaji wa MGAMBO yuko pekeyake mbele ya kipa wa AZAM na uwezekano wa mshambuliaji yule kufunga ni asilimia 98. kama kweli TFF wana dhamira ya dhati ya kuendeleza soka la Tanzania basi...
  12. VOICE OF MTWARA

    hivi hili linanikuta mimi tu au na ninyi pia?

    ni wiki sasa kila nikijaribu kufungua akaunti yangu ya yahoo na ile ya fb naambiwa "untrusted connection" tatizo ni lipi?
  13. VOICE OF MTWARA

    Msaada wa kuzipata ripoti za Jaji Kisanga na Nyalali

    Wakuu amani iwe juu yenu, Nina shida ya ripoti za tume za hawa majaji wawili wenye kuheshimika sana hapa TZ. Mwenye kuwa nazo naomba aziweke hapa. asante.
  14. VOICE OF MTWARA

    Msaada, Nahitaji Trade Union Act No. 10

    mwenye nayo naomba aiweke hapa
  15. VOICE OF MTWARA

    Filamu za ki-Tanzania (bongo movie) na majengo pacha ya benki kuu

    binafsi natumia king'amuzi cha Azam ambacho kina chaneli mahsusi kwa filamu za Tanzania (chaneli ya filamu zetu). chaneli hii imeniwezesha kutazama filamu nyingi sana za Ki-Tanzania, na jambo kubwa nililoliona ni kwamba filamu nyingi zinayaonesha majengo pacha ya benki kuu ya Tanzania. swali...
  16. VOICE OF MTWARA

    ni nani huyu Maloni Linje?

    ukisikiliza nyimbo nyingi za muziki wa dansi za mwishoni mwa miaka ya tisini na mwanzoni mwa miaka ya 2000, bendi nyingi hasa Twanga pepeta, Mchinga sound, TOT Plus wanamtaja sana huyu Maloni Linje. SWALI, yeye alikuwa nani wakati huo? mdhamini wa muziki wa dansi? kama alikua mdhamini, basi...
  17. VOICE OF MTWARA

    ITV mna agenda gani na Makonda na Bulembo?

    kama unafuatilia taarifa za habari za ITV, utakubaliana nami kuwa Makonda na Bulembo wanahojiwa kila siku kuhusu yanayojiri bungeni. swali la kujiuliza ni je, hakuna watu wengine wakuwahoji mpaka muwahoji hao hao kila siku? tumechoka bwana!
  18. VOICE OF MTWARA

    Habari ITV: Salma Kikwete anamnadi mwanawe kwenye kampeni

    Nimestaajabu sana kuona mke wa rais akitumia rasilimali na ulinzi wa serikali kushiriki kampeni kumnadi mwanawe Ridhiwani. Haya nyie wana CCM uchwara endeleeni kulamba nyayo.
  19. VOICE OF MTWARA

    je, unawakumbuka hawa?

    monja liseki, chibe chibe chibindu, silvatus ibrahim "polisi", salvatory edward, wilfred kidau, abdul maneno "kibavu" abuu ramadhani "amokachi", doyi moke, mengi matunda, chachala muya, joseph katuba, mfaume athumani, Aaron nyanda, Anuar Awadh, rajab mwinyi, Alfonce modest, ismail suma, azizi...
  20. VOICE OF MTWARA

    Happy Birthday Prophet Robert Nesta Marley

    Leo hii umetimiza miaka 69 tangu kuzaliwa kwako pale Nine miles St. Anne Bay Jamaica. Unakumbukwa na mamilioni ya walalahoi na wapigania haki huku duniani. kwa sisi Rastafarians, tunaamini bado haujafa ila umepumzika tu katika bustani ya Sayuni. JAH BLESS YOU and I
Back
Top Bottom