VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 3,103
- 2,211
ukisikiliza nyimbo nyingi za muziki wa dansi za mwishoni mwa miaka ya tisini na mwanzoni mwa miaka ya 2000, bendi nyingi hasa Twanga pepeta, Mchinga sound, TOT Plus wanamtaja sana huyu Maloni Linje. SWALI, yeye alikuwa nani wakati huo? mdhamini wa muziki wa dansi? kama alikua mdhamini, basi arudi tena arudishe heshima ya muziki wa dansi wa miaka ya 90 na 2000