Hassan Rehan Bichuka vs Edie Shegy yupi ni best vocalist?

kitonsa

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
764
1,000
bitchuka katamba miongo mingi, sina hakika eddy kama katamba hata mwongo mmoja
sauti tamu pia nampa bitchuka
 
Kapumpuli

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
885
1,000
Hassan Rehani Bitchuka!!!!

Namkubali sana huyu Mzee! Hasa kwenye wimbo unaitwa "Mzungu wa nne"
 
mpita-njia

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
1,707
2,000
Kilichomsaidia Mzee Bitchuka ni nidhamu.
Mzee watu ni family man, wakimaliza show moja kwa moja nyumbani.

Eddy na Christian niliwahi kuwaona miaka ya 90 kuna Guest walikuwa wanakaa Sinza. Kwanza walikuwa walevi kisha wagomvi. Walikuwa na ule ulevi wa ugomvi. Niliwaona kipindi wapo bendi ya Bima Lee.
 
eddy ,Christian na ndugu zao wawili walikuwa wanakunywa gongo balaa mitaa ya sinza,
nadhani ndio kisa cha keti kumwaga eddy, na kukimbilia mabosi wa sinza
 
mpita-njia

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
1,707
2,000
Mzee Bitchuka alikuwa anakaa mitaa miwili tu jirani.

Pia inawezekana Mzee Bitchuka ndio mwanamuziki wa zamani ambaye anaishi kwake na familia (Stable life) wengi umaarufu uliwalevya hawakukumbuka kujenga. Ulevi na totoz zilitawala.

yah kunaitwa sinza kwa bitchuka, karibu na baunsa simatani au kama unamjua kirobo
mwanaye bitchuka alikuwa bishoo bishoo fulani alikuwa anacheza small boys, nyumba yake kipindi anahamia ilikuwa ndio babu kubwa sinza, mbele aliweka bustani matata sana
 
mpita-njia

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
1,707
2,000
Mtoto wake anaitwa Salum Bitchuka, Salum baadae alikuwa mtangazaji Arusha, Radio Uhuru n.k
yah kunaitwa sinza kwa bitchuka, karibu na baunsa simatani au kama unamjua kirobo
mwanaye bitchuka alikuwa bishoo bishoo fulani alikuwa anacheza small boys, nyumba yake kipindi anahamia ilikuwa ndio babu kubwa sinza, mbele aliweka bustani matata sana
 
kitonsa

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
764
1,000
Sinza Star mlikuwa Bange/Bangi sana. Denis Kinyani, Pati, Dogo Machota na wengine
hao wote wanangu umemsahau bob zilla, jitenga, bato,omi migada,mudi nondo, chibini boy, don king, kumbeba, sembe losti ,banza stone, ras dee, simatani ,milanji ,masu lee, mchizi mox, mbena nk
 
mpita-njia

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
1,707
2,000
Nilikuwa Small Boys,

Nakumbuka Darby ya Sinza kati ya Abajalo na Sinza Stars.

Refa mara nyingi alikuwa anatoka kwetu.

Hapo ngumi mtindo mmoja kati ya Wakushi na Sinza Stars.

Miaka ile ya 90 Sinza ilikuwa tough sana sijui nini ilitokea leo Imekuwa mji wa Baa na Malaya.
hao wote wanangu bumemsahau bob zilla, jitenga, bato,omi migada,mudi nondo, chibini boy, don king, kumbeba, sembe losti ,banza stone, ras dee, simatani ,milanji ,masu lee, mchizi mox, mbena nk
 
mpita-njia

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
1,707
2,000
ila baunsa bati ilikuwa habari nyingine,wakina kidume,ayubu mkobo na fike walikuwa wanamfuata kwa tahadhali
Pati alikuwa anatimia Silaha hususani Panga. Na akitoa Panga alikuwa hatudishi. Pati alikuwa anaogopewa kuliko Ayubu Mkobo Dame
 
mpita-njia

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
1,707
2,000
jamaa alikuwa aludishi panga ndio tulikuwa tunamtegemea kwenye vita zetu za sinza star na abajalo
Fike alikuwa mbavu tu lakini hakuwa mgomvi.

Kuna kipindi flani ndugu yake aliuwawa mitaa ya kwetu kwa bahati mbaya, alipatwa na ugonjwa wa akili akawa anaingia kwenye nyumba za watu akaitiwa mwizi. Jamaa wa West Coast wakampiga hadi wakamuua.

Ila kina fike hawakulipiza kisasi.
 
kitonsa

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
764
1,000
Fike alikuwa mbavu tu lakini hakuwa mgomvi.

Kuna kipindi flani ndugu yake aliuwawa mitaa ya kwetu kwa bahati mbaya, alipatwa na ugonjwa wa akili akawa anaingia kwenye nyumba za watu akaitiwa mwizi. Jamaa wa West Coast wakampiga hadi wakamuua.

Ila kina fike hawakulipiza kisasi.
yule ni baunsa profeshino
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom