Search results

  1. Mhache

    Pesa za EPA, na leo ni pesa za RADA kurejeshwa nchini

    Nimejiuliza mengi kuhusiana na hizo fedha zinazorejeshwa serikalini bila kupata jibu la matumizi yake. Je hizi fedha zinatumika kwa shughuli gani au kwa manufaa ya nani? Isije ikawa zinaingia mifukoni mwa wachache wajanja. Kama ndio hivyo sioni haja ya kuzirudisha nchini. Naomba mwenye kujua...
  2. Mhache

    Nahitaji vifaranga wa kienyeji

    Ndugu wadau wa ufugaji wa kuku wa kienyeji. Nimefurahishwa sana na watu wanavyojishughulisha na ufugaji wa kuku hasa wa kienyeji. Mimi nimenza mradi huu kama miezi mitatu sasa. Nina kuku watano (mitetea) na jogoo mmoja. Umbo la kuku wangu ni dogo. Ninaomba kama kuna mtu mwenye vifaranga/kuku wa...
  3. Mhache

    Kuchungulia watu wakifanya mapenzi

    WanaJF nadhani mpo salama kiakili, kiafya na mnaendelea vema kuchapa kazi ili kuliendesha gurudumu la maendeleo ili nchi yetu iweze kuendelea, japo kuna vikwazo lukuki kama RUSHWA, mikwaruzano bungeni na kadhalika. Niaomba kupata michango yenu. Leo asubuhii hii nilisikiliza radio BBC na...
  4. Mhache

    Virefu vya PM and MMU

    Mimi na mmoja ya wasomaji wazuri wa safuhii ya mahusiano, mapenzi na urafiki. Ila nimekuwa na wakati mgumu kuelewa virefu vya vifupissho hivi MMU na PM. naomba mnijuze maana zake. I beg to submit.
  5. Mhache

    Wahi nyumba inapangishwa (Dar)

    Nyumba iliyopo Mbezi Luisi karibu na Mbezi High School inapangishwa. Nyumba ina Sebule, chumba cha kulala na stoo. Kodi ni shilingi 100,000/= kwa mwezi. Malipo ni kwa mwaka. Kwa mawasiliano nitwangie kupitia 0754 383 416.
  6. Mhache

    Nyumba inapangishwa

    Nyumba iliyopo Mbezi Luisi karibu na Mbezi High School njia ya kuelekea Mpiji Magoe inapangishwa. Ipo kilomita moja kutoka barabara ya Morogoro. Nyumba ina sebule, chumba cha kulala, stoo ndogo, jiko na choo cha nje. Nyumba ina umeme, maji yanapatikana jirani. Kodi kwa mwezi ni shilingi...
  7. Mhache

    Nyumba iliyopo Mbezi Luis njia ya kuelekea Mpiji Magoe inapangishwa

    Nyumba iliyopo Mbezi Luisi njia ya kuelekea Mpiji Magoeinapangishwa. Nyumba hiyo ipo karibu na Sekondari ya Mbezi kilomita moja kutoka barabara ya Morogoro. Nyumba yenyewe ina sebule, chumba cha kulala, stoo na jiko. Choo ni cha nje. Nyumba ina umeme, maji yanapatikana jirani. Kodi kwa mwezi ni...
  8. Mhache

    Wasichana au wanawake wa kizungu

    Lengo la mada hii ni kujua upande wa pili wa shilingi. Katika uwanja huu wa jamii forums mengi yameongelewa kuhusu wanawake au wasichana wa kiafrika walioolewa na watu weupe au wazungu kuwa mara nyingi huwa na wanaume wa kibongo, kwani mb.... za wazungu ni fupi au haziwafikishi pale...
  9. Mhache

    Mvua katika jiji la Dar es Salaam

    Ni jambo la kumshukuru Mungu kwamba sasa mvua inanyesha katika jiji la Dar es Salaam na maeneo mbalimbali ya nchi yetu. Mvua ina baraka na matatizo yake. Moja ya tatizo la mvua ni mafuriko kama yalivyoripotiwa sehemu mbalimbali za nchi yetu ikiwemo Kilosa mkoani Morogoro. Watu wengi wamepoteza...
  10. Mhache

    Nyumba inapangishwa ipo Mbezi Luisi njia ya Mpiji Magoe

    Kuna nyumba ya kupanga ipo kama kilomita mbili na nusu kutoka Morogoro Road, Mbezi Luis/ au kwa yusufu kuelekea mpiji magoe. Nyumba yenyewe in Chumba kimoja cha kulala, sebule, jiko na stoo. Choo kiko nje. Kwa mawasiliano 0754383416
  11. Mhache

    Big and speed buses in the city of dar es salaam

    To me this expectation sounds like a dream because there are a lot to be done. I found the way big buses operate in developed countries and conclude that we have a long way to go. You need first to improve infrastructure, then you need to have trained drivers, at the same time passenger need to...
  12. Mhache

    Ulinganifu wa Usafi Dar na Finland

    Mimi ni Mtanzania, nilifanikiwa kupata safari ya kuja Finland kwa ajili ya masomo ya muda mfupi toka tarehe 01/09/2009 na niatrudi Tanzania mwezi ujao. Nimebahatika kutembelea maeneo mengi ya katika nchi ya Finland kama Turku, Tampere, Helsinki na kadhalika. Pia nilipata bahati ya kutembela...
  13. Mhache

    ESAM Stationery and Secretarial Services

    For Stationery and Secretarial Services contact ESAM Stationery and Secretarial services located in Manzese Uzuri, close to Mbokomu Lyamhaa Inn and Manzese Uzuri Mosque. You will get a lot from there, exercise books, different cards, photocopy services, printing and lamination services, we do...
  14. Mhache

    Profesa Haroub Othman afariki dunia

    Mhadhiri mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Haroub Othman amefariki dunia leo alfajiri. Hizi ni taarifa nilizozipata kwenye TBC One. Kifo hiki ni pigo kubwa kwa wanasiasa na wanafunzi wa chuo hicho. Kifo hiki kimenigusa kwani alikuwa mmoja wa walimu wangu wakati nikisoma chuoni...
  15. Mhache

    Kutii na kupenda ni kipi kigumu

    Nilihidhuria senf-off moja. Mshereheshaji alikoga roho ya kila mmoja aliyehuduria send-off hiyo. Mmoja wa wazazi alipopewa wasaa wa kutoa nasaha alisema yafuatayo. Mke kazi yake ni KUTII. Ina maana ni kumtii mume wake na wengine. Wakati mume jukumu lake ni KUPENDA. Mtoa nasaha alimaliza nasaha...
  16. Mhache

    Je ufisadi utaisha tukiwa wazi kama Ndugu Mengi?

    Je Mengi alifanya kosa kuwataja mafisadi? Serikali imetamka wazi kuwa Mheshimiwa Reginald Mengi alifanya makosa kuwataja mafisadi hadharani kwani wengi wao matatizo yao yapo mahakamani. Mengi hana mamlaka ya kufanya hivyo. Je mtu kutaja wanaofanya makosa hadharani si haki ya kikatiba? Ninaomba...
  17. Mhache

    Tutajifunza nini uchaguzi wa Afrika ya Kusini?

    Dear all. Ninaomba uppdates kwa yeyote mwenye data kuhusu uchaguzi wa Africa ya kusini. Je mnatarajia tutajifunza nini kutoka uchaguzi wa Afrika ya Kusini?
  18. Mhache

    DECI yawa kilio badala ya neema

    Katika pitapita yangu jijini Dar es Salaam nimekutana na gazeti la UWAZI likionyesha mama mmoja aliyepoteza maisha baada ya kufika kwenye za DECI na kukuta kufuli kubwa mithili ya Kichwa cha ng'ombe. Mama huyo ilikuwa ni siku yake ya kwenda kuvuna mapesa kutokana na fedha au mbegu alizopanda...
  19. Mhache

    DECI sasa basi

    Serikali imeifunga DECI rasmi. Kwa maana hiyo shughuli za kupanda na kuvuna zimesitishwa. Pia Serikali imezifunga account zote za DECI, DECI haina uwezo wa kuchukua au kuweka fedha kwenye account zilizokuwa za DECI. Dhamana zote zimechukuliwa na serikali, kwa hiyo serikali inawakati mgumu wa...
  20. Mhache

    Chenge na bajaji aina ya Chenge

    Wanajamii forum, Mheshimwa Chenge kesi yake inaendeleaje. Nipeni updates. Au ndio imeyeyuka kama ya Ditopile.
Back
Top Bottom